Search results

  1. Sol de Mayo

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    For me, Mwanza is the best jiji kwa kuishi, kutalii na kibiashara 1 Dar 2 Mwanza
  2. Sol de Mayo

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Bora nifanye kazi na wasukuma au watu wa dar, pwani, tanga au kigoma, wengine siwajui vizuri. Lakini ukiniambia watu wa kaskazini hapana aise, japo sio wote.
  3. Sol de Mayo

    DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

    Tapeli achukuliwe hatua, tena aswekwe ndani kabisa, ila mhindi mmoja anaesadikika ni tapeli isiwe ndio sababu ya wengine/civilians kutomiliki maeneo, acha ubaguzi, ardhi ni ya Mwenyezi Mungu na sio ya john wala Abdallah pekee. Naahene nkoi
  4. Sol de Mayo

    Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Kuuawa kwa civilians ni uongo? Fuatilia aljazeera mubasher, aljazeera arabic utaona ukweli, na propaganda za wakina cnn na bbc
  5. Sol de Mayo

    Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Aljazeera kilichowaponza kutoa habari ya kweli, sio kama cnn na bbc
  6. Sol de Mayo

    Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

    Kweli wabongo wengi ni waoga sana, wakaishi nchi zenye vita wakajifunze kitu. Yani mtu anaungua halafu unamwangalia hata kutoa msaada wa kumvuta na kumuweka pembeni! Hii ndio Afilika Afilika
  7. Sol de Mayo

    Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    Mtihani sana mkuu, Allah atawaongoza
  8. Sol de Mayo

    Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

    Mtu anapita na gari why asitoe msaada wa fire extinguisher! Cha ajabu pia wanazima huku wanamuangalia akiungua badala wamvute na kumuweka pembeni. Boda boda acheni kuendesha speed, leo yametokea hayoo, cha ajabu others hawajifunzi.
  9. Sol de Mayo

    Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    Waige nchi za kiislamu, mfano OMAN siku hiyo hakuna kazi, watu wanapumzika bila kufanya hayo uliyoyata, if kama nikweli! Sisi bongo Mawlid wanaifanya sivyo, kitu ambacho hakipo kabisa, kama umeisikiliza hiyo clip niliyopost utaelewa.
  10. Sol de Mayo

    Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    Sorry, sio sikukuu. Bali nilikusudia kupata live/ijaza kwa waislamu kote duniani Je imethibiti kusoma Mawlid katika sunnah? https://youtu.be/E6XEl0cUt9Y?si=FhpHwBrk2I5WqfOH
  11. Sol de Mayo

    Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

    Kumbe, hongera yao Kwamba zimetoka wapi? Nchi haina mapato?
  12. Sol de Mayo

    Mei Mosi: Wafanyakazi Zanzibar kuongezewa Tsh. 50,000 kama posho ya nauli

    Zanzibar niwashauri tu muombe kuungana na jumuia ya AFRIKA YA KASKAZINI, itapendeza sana Algeria Morocco Tunisia Libya Zanzibar
  13. Sol de Mayo

    Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

    Una uhakika? pia ukumbuke na population ya Tanzania, ukilinganisha na nchi ya Zanzibar.
  14. Sol de Mayo

    Tanzania kuna fursa mbili kubwa ambazo zinaweza kukufanya uwe multi billionaire

    Yule rafiki yako Iceman 3D nilisikia alikufa mkuu, it's true?
  15. Sol de Mayo

    TANZIA Gwiji wa Kiswahili, Mzee Amiri Soud Andanenga ametutoka

    إنا لله وإنا إليه راجعون Allah amjaalie Qauli thabit ndugu yetu Amir RIP❌
  16. Sol de Mayo

    Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

    Vipi wamekujengea hata nyumba la tembe? Hizi sifa si bora ungezielekezea kwa Rais wako!
Back
Top Bottom