Recent content by Msitari wa pambizo

  1. Msitari wa pambizo

    KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

    Hata sio wengi ndugu yangu. Kuna wajinga wachache tu wanaharibu hali ya hewa. Ki ukweli mimi nakereka sana
  2. Msitari wa pambizo

    Kwa nini watu wenye asili ya kigoma wana akili sana/nyingi?

    Nyie mmezidi. Yani chale chale mwili mzima.
  3. Msitari wa pambizo

    Kwa nini watu wenye asili ya kigoma wana akili sana/nyingi?

    Sema wale jamaa ni wachawi aisee. Mtu wa Kigoma ukimfanyia ubaya katika harakati zake za kutafuta noti hakuachi aisee. Nimeshuhudia jamaa anarudi kwao Mwanza hoi washatafuta ugonjwa washakosa, kumbe alimchongea mtu wa Kigoma akafukuzwa kazi. Alimwambia mimi naondoka lkn unauefuata na wew...
  4. Msitari wa pambizo

    Uliyewahi kubadili dini ulichukuliwaje na ndugu zako?

    Nawashukuru sana wazazi wangu kwa imani waliyonirithisha. Sijuti kumuamini Kristo. Dini hii ni njema sana... nitabaki kuwa mkristo na nitakufa katika Kristo Yesu
  5. Msitari wa pambizo

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Nani aliwambia huu upuuzi. Ndio maana ndoa za siku hizi zinawashinda.
  6. Msitari wa pambizo

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Yani wapemba walivyojaa mbagala. Niliwahi kusema hapa wazanzibari ni wabaguzi kuliko jamii yoyote Tanzania hii
  7. Msitari wa pambizo

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

    Futi? Huu ujinga mmepanga kuwadanganya wasioenda shule ili figure ionekane kubwa. Madalali wa aina hii wapo wengi sana mitaa ya huko. Huwez kukut maeneo ya Goba. Bweni au madale anata gaza kiwanja kwa futi
  8. Msitari wa pambizo

    Star Times wanatukera wateja wao tunaitumia Antena

    Sema kutumia Star times inabidi irasimishwe kama indicator ya umaskini
  9. Msitari wa pambizo

    Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kuna jamaa yangu mwaka jana alipata kazi kampuni kubwa sana alinipa story yake nilishangaa sana. Ananambia katika maisha yake mama yake alimuaminisha kwamba baba yake ni mbaya mpaka ikafikia hatua baba akawa anakosa ujasiri wa kumshauri au kumwambia chochote jamaa. Lkn nyuma ya pazia kumbe...
  10. Msitari wa pambizo

    Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Nitamuhudumia na kujitahidi kadri niwezavyo nimuwezeshe ki elimu na ki uchumi. Aidha kwa yeye kutokujua au kwa kujua. Akikua badaye na kuona mimi sifai wala I don't care as long as nimetimiza wajibu wangu hata nikirudi kwa Mungu narudi nikiwa nimenawa. Bahati nzuri nowadays tunawasaidia watoto...
  11. Msitari wa pambizo

    Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

    Kuna mtu anapigwa hapa. Kuwa makini kaka mwenye 170m
  12. Msitari wa pambizo

    INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    2.4? Sijui huwa mnadhani hapa mjini wote ni wakuja
  13. Msitari wa pambizo

    Nimelia sana usiku wa leo, nipo katika kipindi kigumu sana cha maisha

    Mtoto wa Mwigulu yupo anatembea na baba yake jimboni anasema mama anaupiga mwingi. Hii nchi siku mkijua mifumo ndo tatizo mtaanza kupiga kura kuwakataa hawa wazandiki. Dogo bado uko chuo umekata tamaa kwa sababu unaona kabisa huwez kupata ajira kwa sababu ya ajira za kubebana. Pole
  14. Msitari wa pambizo

    Haijapata kutokea ila imetokea sasa ndio maana tunawasifu na kuwaunga mkono viongozi wetu

    Msiibe kura sasa 2025 ili wananchi wawaoneshe jinsi wao wanajua maendeleo sio nyie keybod worriers. Kitu usichokijua ni kuwa msipoiba kura hata huyo mama yenu anarudi Kizimkazi
Back
Top Bottom