Wilaya Zote za Mkoa wa Ruvuma zimeunganishwa na Barabara za Lami

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,571
Ruvuma ni Moja ya Mikoa michache Zenye bahati ambapo Wilaya zake zote zimeunganishwa Kwa Barabara za lami.

Kwa sasa Serikali inaendelea kupanua mtandao wa lami kwa kujenga Barabara zifuatazo kwa.lami.

Songea-Mhukuru-Mkenda(Tzn/Msumbiji)
Songea-Morogoro
Songea-Makambako(Rehabilitation)
Lituhi-Kitai.

View: https://www.instagram.com/reel/Cx8T4LXMTZ_/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Hakuna Mkoa ambao hauna miradi ya Barabara za lami chini ya awamu ya 6.
 
Duu kweli watu wa Dar mna matatizo sana,huko lami ilofika kitambo sana Toka enzi ya JK(Songea-Masasi) na Mwendazake (Songea-Mbinga).
Kitambo sana uko sijatimba. Nilikula vumbi jekundu back 2012 uko Mbinga Namtumbo dah hatari.

Enzi nakula mayao na viazi.
 
Ruvuma ni Moja ya Mikoa michache Zenye bahati ambapo Wilaya zake zote zimeunganishwa Kwa Barabara za lami.

Kwa sasa Serikali inaendelea kupanua mtandao wa lami kwa kujenga Barabara zifuatazo kwa.lami.

Songea-Msumbiji
Songea-Morogoro
Songea-Makambako(Rehabilitation)
Lituhi-Kitai-Mbinga.

View: https://www.instagram.com/reel/Cx8T4LXMTZ_/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Hakuna Mkoa ambao hauna miradi ya Barabara za lami chini ya awamu ya 6.

Songwe kwa majirani zangu KUNA MRADI GANI?

#YNWA
 
Songwe kwa majirani zangu KUNA MRADI GANI?

#YNWA
Nimekwambia hakuna Mkoa ambao hakuna mradi.

Songwe Kuna miradi ifuatavyo

Tunduma-Igawa Highway

Luanda-Idiwili-Itumba

Isongole-Ipyana-Ngano-KatumbaSongwe(kabla ya disemba mkandarasi atatangazwa,ilikuwa ianze mwaka Jana maana bila hii Naibu Waziri wa Ujenzi na mbunge wa Ileje itakula kwake).
Screenshot_20231003-194401.jpg
 
Nimekwambia hakuna Mkoa ambao hakuna mradi.

Songwe Kuna miradi ifuatavyo

Tunduma-Igawa Highway

Luanda-Idiwili-Itumba

Isongole-Ipyana-Ngano-KatumbaSongwe(kabla ya disemba mkandarasi atatangazwa,ilikuwa ianze mwaka Jana maana bila hii Naibu Waziri wa Ujenzi na mbunge wa Ileje itakula kwake).View attachment 2770820
Umefika Kule kunakoitwa MOMBA mkuu?

Unaijua Momba vizuri??

#YNWA
 
Back
Top Bottom