Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 4,420
- 12,237
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....