Nenda Sandaland kkooWakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location.
Nb.Nipo Dar Es Salaam
View attachment 2978634View attachment 2978635
0762 879060, Mushi makumbusho anavyoWakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location.
Nb.Nipo Dar Es Salaam.
View attachment 2978634View attachment 2978635
Nenda Kariakoo Duka La Sunderland, Niliingia Pale Nikavikuta Bei Ni Tshs 110000/=
Hawapunguzi ,
Nenda kkoo pale Sunderland, bei ni 120k.
Hawapunguzi hata mia.
Hata Ukishaingia Na Kuongea Na Wanaohudumia Wanakwambia Wazi Bei Na Haipungui👆hii awapunguzi ni tangazo wameweka hapohapo au vipi?
karibu mkuu bei 110k delivery ipo kwa gharama zakoWakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location.
Nb.Nipo Dar Es Salaam.
Nenda Kariakoo Duka La Sunderland, Niliingia Pale Nikavikuta Bei Ni Tshs 110000/=
Hawapunguzi ,
Kibondo, Kigoma TanzaniaDah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k.
Kwa huko wamekupiga Nakala a.k.a CopyDah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k.
Yeah. Niliposikia iyo bei sikujiuliza mara tatuKibondo, Kigoma Tanzania
Safi Sana
Mshamba mmoja wewe. Kwahiyo hapo kkoo ndio unanunua vitu og? Unafeli sanaKwa huko wamekupiga Nakala a.k.a Copy
Kaributhanks mchumba😊
Kubali tu umepigwa nakala na ujipange upya!Mshamba mmoja wewe. Kwahiyo hapo kkoo ndio unanunua vitu og? Unafeli sana