Wanawake wapambanaji wanahitajika

Bellami

Member
Aug 8, 2014
53
17
Habari za mchana wana JF, ninatumai wazima na kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema kwa uwezo wake.

Nipo hapa kutangaza nafasi za vijana wa kunisaidia kuuza juice mtaani. Ninataka wasichana umri kuanzia miaka 18 - 30, akiwa mkazi wa kuanzia Gongo la Mboto hadi Ilala itapendeza. Pia wa kiume kama atapatikana tutaongea.

SIFA:
1. Mwenye kauli nzuri kwa wateja
2. Aliye tayari kujitoa
3. Msafi na aliye tayari kufuata maelekezo

Aliye tayari anitafute WhatsApp +255 752 976 792
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom