dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,752
- 16,513
- Thread starter
- #61
Mpe
WewWe ukimpa jicho lako la tatu inatosha😁
WewWe ukimpa jicho lako la tatu inatosha😁
Tumeamua kwenda na Mama 100 mwenyewe akisema imetosha tutakwenda na Lisu.Hao vitoroboto wakaongoze familia zao.Kitila anatufaa sna Sana. Namkubali binafsi na mm nimepita kweny mikono yake 🤣 Niko fiti ,timamu Kama yeye
Bila picha hizi ni porojo kama porojo nyingineAcha ujinga ww humjui le professional
Tupo na mama Samia suluhu hassani na ndie ajaye utake usitake..Hamtaa aminj kitakacho tokeaa fomu zitakuwa nne lamz apitie mchakato mzima wa chama Cha ccm hakuma mbeleko habebwi mtu yeye amlizie kipondo Cha magu akaemde zake kizimkazi
Kitila Mkumbo wa Chadema ndiye alikuwa mtu. Huyu wa sasa ni chawa aliyejitoa ufahamu. Sisemi hivyo kwa sababu alienda CCM, la hasha. Ni kwa sababu ya haya anayosema na kufanya. Pamoja na kwenda zake CCM, kama angetulia na kuwa mtu wa hoja za maana na siyo chawa labda angekubalika.Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano
Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake
Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo
Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa
Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K
Hilo hata mimi limenishangaza sana.Kweli kuna mtu anathubutu kuwa ccm na kujitangaza kabisaa?! Kweli wanadamu tunatofautiana.
thubutuu!! Bas ishia hapo hapo.Kwani wangoni wote s ndugu ,
Mm nakuoata vzr tu wee endelea au nikutajie jina la Bab ako wewe
M
Dr Namugari?? Wewe ni Daktari wa nini? Maana naanza kupata mashaka
Stupid ideasNimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano
Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake
Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo
Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa
Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K
Ulitumia data gani kufikia conclusion ya kwamba Prof Kitila anaweza kuwa Rais? Maana ubunge wa Ubungo tu hatoboi mwaka 2025Dr wa PhD kbsa ya darasani ,Nina umahiri kwenye eneo la utafiti na data analysis
Atatoboa bhnaa kitakachotumika kuwapeleka bungeni Ni gia ya kimagufuli fuliUlitumia data gani kufikia conclusion ya kwamba Prof Kitila anaweza kuwa Rais? Maana ubunge wa Ubungo tu hatoboi mwaka 2025
Kama comments zako ndiyo hizi naanza ku doubt hiyo PhD yako na taasisi elimu iliyokupa. Isije ikawa iko kama ya late Lyatonga Mrema au Mbunge Musukuma wa GeitaAtatoboa bhnaa kitakachotumika kuwapeleka bungeni Ni gia ya kimagufuli fuli