Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,646
16,330
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,

Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano

Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake

Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo

Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa

Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K
 
Nimeona kbsa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi SAS kutupeperushia bendera ktk uchaguz ujao awe prof kitila Mkumbo ,

Huyu atatufaa Sana na Ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfno hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki Cha muungano

Pili rasillimali za tanganyika zitakuwa salama mikono mwake

Siyo kwa ubaya ila huyu bwana Ana akili kubwa mno na maono aanayo

Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa

Kwa Sasa safarini kueleke singida manyoni
0786757564
K
why isiwe wale vijana machachari wanaoutaka urais kina komredi mwigulu na january? Kitila hana exposure kuwazidi hawa vijana walioanza kuji brand kuwa wanafaa kuwa rais wa Tanzania
 
Nimeona kbsa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi SAS kutupeperushia bendera ktk uchaguz ujao awe prof kitila Mkumbo ,

Huyu atatufaa Sana na Ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfno hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki Cha muungano

Pili rasillimali za tanganyika zitakuwa salama mikono mwake

Siyo kwa ubaya ila huyu bwana Ana akili kubwa mno na maono aanayo

Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa

Kwa Sasa safarini kueleke singida manyoni
0786757564
K
Ongeza kabisa na jingine moja ili uwe na macho manne
 
Nimeona kbsa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi SAS kutupeperushia bendera ktk uchaguz ujao awe prof kitila Mkumbo ,

Huyu atatufaa Sana na Ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfno hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki Cha muungano

Pili rasillimali za tanganyika zitakuwa salama mikono mwake

Siyo kwa ubaya ila huyu bwana Ana akili kubwa mno na maono aanayo

Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa

Kwa Sasa safarini kueleke singida manyoni
0786757564
K
MKUMBO HUYU HUYU MSALITI ? MKUMBO HUYU HUYU AMBAYE NJAA ILIMFANYA AWASALITI WENZAKE? LABDA UENDE NAE WEWE
 
Kweli kuna mtu anathubutu kuwa ccm na kujitangaza kabisaa?! Kweli wanadamu tunatofautiana.
 
MKUMBO HUYU HUYU MSALITI ? MKUMBO HUYU HUYU AMBAYE NJAA ILIMFANYA AWASALITI WENZAKE? LABDA UENDE NAE WEWE
Hivi mnavuosema njaa Kuna Prof gani analia njaa ktk taifa lolote sidhanj Kam Ni njaa alikuwa nayo msomi mahiri Sana Yule na Hana njaa njaa za kipuuzi
 
Punguza njaa mwambie huyo jamaa yako bado kabisa hajafika viwango hivyo na wewe huiwezi hiyo kazi aliyokupa ya kumpigia debe mtu ambaye hata huo ubunge tu kama sio nguvu aliyotumia bosi wao kuiba uchaguzi asingekuwa mbunge.
 
Kitila anatufaa sna Sana. Namkubali binafsi na mm nimepita kweny mikono yake 🤣 Niko fiti ,timamu Kama yeye
 
Punguza njaa mwambie huyo jamaa yako bado kabisa hajafika viwango hivyo na wewe huiwezi hiyo kazi aliyokupa ya kumpigia debe mtu ambaye hata huo ubunge tu kama sio nguvu aliyotumia bosi wao kuiba uchaguzi asingekuwa mbunge.
Wee Ni chadomo
 
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,

Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano

Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake

Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo

Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa

Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K
Dr Namugari?? Wewe ni Daktari wa nini? Maana naanza kupata mashaka
 
Back
Top Bottom