Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,643
- 13,021
hao walioko nje ambao huwaoni apo mjengoni, wapo wanafanya kazi za nje za wanainchi, wana ruhusa ya speaker na wanafuatilia each and everything mjengoni 🐒.Kwahiyo
Kwahiyo bungeni kazi za nje ya bunge ambazo ni muhimu kuliko kuhudhuria vikao. Wapo spika anaruhusu wabunge wengi kutokuhudhuria kwa sababu ya bunge digital ,sisi wananchi je nasi digital
sasa unauliza tena, sisi wananchi vep, as if wengine sio wananchi 🐒.
waliopo wanatosha kabisa kufanya kazi na shughuli za bunge, kulingana na kanuni za bunge, Sheria na katiba ya nchi, ndio maana huoni kazi yoyote ikilega wala kusimama 🐒
by the way ni bunge la bajeti tu, bunge ambalo ni rahisi zaid 🐒