Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!

Kiukweli nami nadhan iwe hivyo,tunawalipa kwa kazi ambao haina matokeo.Ushauri :
Tufanye majaribio kwa ku-foregone bajeti yao iende kwenye miradi ya maendeleo.
Tuendelee kuiamini Serikali kuwa mambo yatafanyika kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma na Kwamba hakutakuwa na ubadhirifu wa fedha za umma wala mali za umma.
Office ya CAG iwe huru kufanya kaguzi kwa mujibu.
Huenda tukapiga hatua kubwa sana!
Tuone ?!
Wizara ya Jenister Mhagama, ofisi ya waziri mkuu,Sera, uratibu na bunge.Hivi Kwani bajeti ya bunge huwa inawasilishwa kupitia chombo gani?
Sijawahi kusikia ikisomwa wala kujadiliwa.
Nadhan kuna haja ya kujitathimini upya.Bajeti ya matumizi yao kila Mwaka ni kubwa sana, mishahara, Magari posho, Safari , matibabu n.k
Lakini tunaweza kujiuliza faida wananchi wanayopata kwa uwepo wao ni kama zipi kwa mfano ?
Au tubaki kuwa na Serikali na mahakama tu ?
Ikiwa kinachotatoka serikalini kinapita kama kilivyo kuna haja ya uwepo wa bunge la bajeti kwa mfano ?
Je Gharama wanazolipwa zikajengee
Mabarabara, hospital, Shule , Nyumba za watumishi, mishahara na marupurupu ya watumishi yaongezwe n .k. ?
Hapo hakuna bunge mbali kuna kusanyiko la majngili tupuHabari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!
Tulia kijana tushasaini posho tupo chako ni chako tunachoma kukuHabari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!
Hawana muda wa kukaa hapo bungeni maana hilo ni bunge kibogoyo, na hawaruhusiwa kupinga chochote kinacholetwa na serekali bungeni. Zamani kukiwa na wabunge wengi wa upinzani walikuwa wanajitahidi Ili wazomee, na sio kujadili hoja, maana hawana uwezo wa kujadili hoja.Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!
Unauliza hirizi Tanga?!Kwahyo kikao cha baraza la mawaziri ndo kinachopanga kila kitu
TlaatlaahHabari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!
si muungwana hapo amekiri wazi yeye sie mjuzi wa masuala bayana kabisa ya Bunge 🐒
Ndio hasa hili la bajetiHivi bado mnafatilia bunge..duuh..hivi hapo kuna bunge kweli..
Kwahiyosi muungwana hapo amekiri wazi yeye sie mjuzi wa masuala bayana kabisa ya Bunge 🐒
ameghafulika tu kukerwa na kitu ambacho hana uelewa au ufahamu wa kutosha nacho, na hata hivyo sio mbaya, ndivyo binadamu tulivyo....
by the way,
mjengoni sio shuleni na kwahivyo hakuna alie mtoro....
nachelea kusisitiza kwamba wabunge mahiri sana hapa Dodoma wana kazi nyingi, ngumu na muhimu sana ndani na nje ya bunge kwa maslahi mapana ya nchi.
na zote hizo wanazifanya kwa mujibu wa kanuni za bunge, sheria na katiba ya nchi. na katika vikao vya bajeti vinavyoendelea hivi sasa, speaker ana taarifa na kila mbunge ambae humuoni mule ndani ila yupo kwa taarifa anaendelea na majukumu mengine ya kibunge na anachangia, anafuatilia kila hatua ya mjadala kwa njia ya mtandao 🐒
bunge digital 🐒
Kwahiyo bungeni kazi za nje ya bunge ambazo ni muhimu kuliko kuhudhuria vikao. Wapo spika anaruhusu wabunge wengi kutokuhudhuria kwa sababu ya bunge digital ,sisi wananchi je nasi digitalsi muungwana hapo amekiri wazi yeye sie mjuzi wa masuala bayana kabisa ya Bunge 🐒
ameghafulika tu kukerwa na kitu ambacho hana uelewa au ufahamu wa kutosha nacho, na hata hivyo sio mbaya, ndivyo binadamu tulivyo....
by the way,
mjengoni sio shuleni na kwahivyo hakuna alie mtoro....
nachelea kusisitiza kwamba wabunge mahiri sana hapa Dodoma wana kazi nyingi, ngumu na muhimu sana ndani na nje ya bunge kwa maslahi mapana ya nchi.
na zote hizo wanazifanya kwa mujibu wa kanuni za bunge, sheria na katiba ya nchi. na katika vikao vya bajeti vinavyoendelea hivi sasa, speaker ana taarifa na kila mbunge ambae humuoni mule ndani ila yupo kwa taarifa anaendelea na majukumu mengine ya kibunge na anachangia, anafuatilia kila hatua ya mjadala kwa njia ya mtandao 🐒
bunge digital 🐒
Kama ni hivi ,basi tunapoteza pesa bure kuwalipa hao jamaaUnauliza hirizi Tanga?!
Kwani wanaishi nje ya majimbo yaoHuenda wanakimbilia majimboni kuweka mambo sawa!