Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,035
12,283
uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM,
ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana.

kwamba,
kama nchi tupo pazuri sana na tunaelekea pazuri zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi na huko tuendako panaeleweka bayana hususani kwenye suala la muungano, tume huru ya uchaguzi, uchaguzi mkuu na katiba mpya...

wizara mbalimbali hapa bungeni, zikiendelea kuwasilisha bajeti zao, ili hatimae matarajio na matamanio ya waTanzania katika maendeleo yao, yaweze kutekelezwe, kutimizwa na kufikiwa kwa weledi na kwa wakati muafaka mwote nchini:NoGodNo:
 
Hivi hilo bunge la majizi ya kura Bado linaendelea, maana limepooza kinoma. Mapeasant ndio Bado wanalikisiliza maana hao huwa wanasikiliza TBC.
 
kwakweli bunge letu tukufu linaendelea kuchapa kazi zake vizuri sana kwa uwazi, usawa, uhuru na kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote akiwemo wewe mTanzania mzalendo sana :NoGodNo:
 
Ukitaka kujua hilo bunge ni uchafu kama uchafu mwingine, angalia mahudhurio ya hayo majizi ya kura, ndio utajua bunge halina maana yoyote zaidi ya wasaka tonge.
 
kumbe tupo pamoja live, japo ulisema hufuatilii :pedroP:

majukumu ya waheshimiwa wabunge ni mengi mno, na kwakweli wanafanya kazi kubwa sana ndani, na nje ya bunge, na ndio maana huoni jambo lolote likikwana kwa sababu yoyote ile. Uelekeo ni mzuri, mipango iko wazi, imani, matumanini, faraja, ndoto na matarajio ya waTanzani ni makubwa sana kwa bunge hili tukufu la JMT:spandauB:
 
Kama hawahudhirii ni hadi nitazame hilo bunge? Siwezi kujua bila kulifuatilia? Ni shughuli ipi itaweza kukwama nchi hii kisa hilo bunge kibogoyo halipo? Maana hilo bunge linategemea hela ndio wakapige porojo, na Wala sio hela zinanzia bungeni kwenda kwenye mahitaji ya umma.
 
wanachokifanya wabunge ndani na nje ya bunge, ni kwa manuafaa ya waTanzania wote na ndio maana wanatumia fedha ya umma ambayo ni kodi ya kila mwananchi humu nchini ikiwa ni pamoja na wewe :BASED:
 
Back
Top Bottom