Tundu Lissu: Nimekabidhiwa gari bila plate number ila nimepenyezewa Taarifa kuna mtu anatumia namba za gari yangu iliyoshambuliwa!

Tundu Lissu anafanya kile wataalamu wanaita "exposure therapy" Kupigwa risasi sio mchezo.

Badala ya CHADEMA kumtumia kama kivutio cha kura za huruma, wamlipie therapy yake. Ndio maana anadai alipwe. Kuhudumia mtu kama Lissu na PTSD ni gharama kubwa sana.

Nawashauri wamuanzishie nyuzi za kuombewa ama za kumchangia kwa therapy na sio za kutengenezea gari. V8 lakini!
Msukule
 

Attachments

  • JamiiForums-1118962675.jpeg
    JamiiForums-1118962675.jpeg
    79.3 KB · Views: 1
Jamaa anapenda ligi na show-off balaa
Sasa alikubali vipi kuchukua gari halina namba?
Nb: Ndio wanasheria wetu hawa
Simple things wqnashindwa kuliona daa
 
Kumbe ndio maana wanayaacha yanafanya vurugu barabarani. Nchi hii inasikitisha, aliyepewa jukumu la kusimamia sheria ndio namba moja kwenye kuvunja.

Inasikitisha sana. Sasa fikiria ukiwa mikononi mwao haki itatendeka?
 
Back
Top Bottom