GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha la Tsh 12,500/ sasa.
Hivi huyu Mtu ikitokea akahisiwa kuwa huenda Yeye ndiyo alikuwa anataka Kumuua Tundu Lissu atakataa na kubisha?
Hivi huyu Mtu ikitokea akahisiwa kuwa huenda Yeye ndiyo alikuwa anataka Kumuua Tundu Lissu atakataa na kubisha?