Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,650
16,338
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna nafsi na min market nayo inakimbiza balaa

SAS alifungua kwa kusua sua kwa wateja ila Sasa hivi ukienda haswa week end unakosa pa kupaki gari ili lioshwe Ni Kwamba magari ni mengi San yanakuwepo na magari yenyewe ni Yale ya Bei kubwa kubwa kwa kifupi Dr ambae Ni jirani angu amepatia sna hiyo biashara

Jana nilikwenda kuosha guta langu nilikosa huduma baada ya vijana kuwa busy sna kuosha maTx nikaona wacha nielekea car wash iliyo mtaani karibu mita na chache na ya Dr niliwakuta vijan hawana Kaz kabsa wakt kwa Dr Hakuna pa kupaki gari Wala guta hawaoshi

Jmn biashara is not for everybody wengine tujikite na kilimo na ukipata nguvu jenga nyumba za kupangisha vingevyo utakula loss.
 
Connection ndio kila kitu wanajua kushikana na kunyanyuana..
Tatizo hawakawii kukutapelii hasa wakijua ww sio mchaga
 
Hapo atafungua grocery next week na itakua full house mumuite mchawi wakati umeshasema kuna car wash na barbershop hivyo automatic biashara itakayolipa kwenye hayo mazingira ni ya pombe na chakula maana wanaume wapo wengi,
Biashara ni kuwa na right information at right time na hivyo vyote vinatokana na ku seek knowledge.
 
Na kweli ilo eneo limekaa kimkamkati sna jamaa dr tuko vzr
 
Acha Ushakunaku, huwa unajikuta Mlokole lakini mpaka hapo umetenda dhambi ya kusema Uongo unless uthibitishe kuwa wana madhabahu isiyotokana na Mungu

Uzushi ni Dhambi pia
Madhabahu ni kweli japo sina uhakika kama inawasaidia kwenye biashara ...

Hapa kilima kuna madhabahu imekula watu kadhaa kiajabu ajabu sana..

Wengine ajali ya gari, wengine kuangukiwa na tawi la mti eneo hilo hilo..

Ila ubunifu pia mnao, siwadharau...

Na nyinyi msikatae kwamba mnamaliza watu huku home.
 
Back
Top Bottom