TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

Wakati Simba Sc anachukua ubingwa 2017 mbele ya mgeni rasmi JPM, alifungwa mechi gani nyingine kwenye ligi tofauti na ile ya mwisho dhidi ya Kagera? Unadhani hapo nyuma alikuwa na unbeaten ngapi?

Nilisikia unasoma Chuo Kikuu ila kwa hizi akili, napata shida na ninaihurumia sana Tz.
Msimu mmoja una mechi ngapi?
 
Matusi hayo,Hamna hata nusu kikombe cha Africa wao wanacho,hamna hata uwanja wao wanao kisha waje kujifunza kwa mbumbumbu?
Kuna timu hii dunia inalipia mabango ya matangazo ya matokeo? Usishangae kuwaona hata madrid hapa.
 
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo mbalimbali kwenye Mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji" Simon Patrick, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga SC.
---

Pia tutakuwa na makubaliano rasmi ya urafiki wa kushirikiana kati ya Klabu yetu ya Yanga na TP Mazembe ili kuweza kubadilisha ujuzi wa mambo mbalimbali ya kimpira yatakayoweza kuisaidia Klabu yetu.

Klabu kubwa kama TP Mazembe imesafiri kutoka DR Congo kuja hapa Jangwani kujifunza kwa kichwa chetu, Rais wetu Eng. Hersi Said halafu kuna watu wako nyumba ya 16 tu jirani hapo, wanapiga kelele kuwa hawana cha kujifunza kwa Yanga. Niwaambie tu, tutabeba Makombe hadi kila Mwanachama atakuwa anabeba la kuweka nyumbani kwake

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

Je Kuna ukweli kuwa Yanga ndio workshop ya soka hapa Afrika???
Pia za chinichini nasika meneja wa man u na chelsea wako njiani kuja kupata ushauri yanga
 
Back
Top Bottom