BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,619
- 2,998
Inchi yetu Wananchi wake waliingizwa kwenye Vyama vingi Kwa utashi wa MATAIFA ya nje na Viongozi walio na hila Ili waonekane wanaenda na matakwa ya wakati katika Siasa. Waliotaka Vyama vingi hawakuzidi asilimia 22, wakapewa Kwa hila huku mifumo ilibakia ileile ya chama kimoja, katiba, tume ya uchaguzi n.k
Waliojiunga Vyama vya UPINZANI mwanzoni walielewa Hilo kuwa UPINZANI,sio Kwa malengo ya kutawala nchi, Bali kupiga kelele juu ya mauvu na kuonekana kukiwajibisha chama tawala.
Vyombo vya Dola, Mahakama
Havijaandaliwa kuheshimu na kuona UPINZANI ukitawala ndio Maana Polisi, jeshi, usalamawa Taifa, Mahakama zinatumia nguvu nyingi kuona chama tawala hakishindwi Kwa namna yoyote.
Cha kufanya,tusiwe wanafiki, turudishe mfumo wa chama kimoja,vita irudi ndani ya CCM, tuache ghiriba. Mfumo uliopo kutoka madarakani lazima vyombo vya Dola na Mahakama viwe tayari kuhesabiwa na kuacha kupokea mapochopocho wanayoyapata kutokana na mfumo. Hata wakiungana wapinzani wote sio rahisi kushinda,bila support ya mfumo.
Mungu Ibariki Tanzania.