TANESCO imetosha sasa, huu umeme wa kushituashitua namna hii bora usiwepo maana upo ila hatuwezi kuutumia

Ndonoman

Member
Feb 21, 2024
9
24
TANESCO, Huu ndio umeme mmeona leo mtulee watu wa Mbezi mwisho kweli, hivi mna nini nyie? Hapo ukute kwenye ripoti zenu mmejaza Mbezi wana umeme ndio huu? Sisi tutaufanyia nini iwapo hata taa tu inasumbuka kiasi hiki?

Au mnalengo la kutuunguzia vitu, maana ukitulia dk 5 unaaanza kwa spidi a ajabu kuzima na kwa kuwaka kwa kasi.

Acheni mambo ya kidwanzi tulizeni umeme watu tuna kazi zetu tunashindwa kufanya kisa umeme kama huu, hapa kwenye banda langu siwezi kuwasha mashine zangu tangu asubuhi mpaka sasa saa 7 na dk 20 kufanya kazi za wateja kisa hii.

TANESCO, Huu ndio umeme mmeona leo mtulee watu wa Mbezi mwisho kweli, hivi mna nini nyie? Hapo ukute kwenye ripoti zenu mmejaza Mbezi wana umeme ndio huu? Sisi tutaufanyia nini iwapo hata taa tu inasumbuka kiasi hiki?
Huku walikata sa nane usiku asubui wakarudisha, sa tatu wakakata sa SITA ukarudi
 
Back
Top Bottom