Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Financial

Senior Member
May 15, 2021
174
454
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote

2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.

3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.

4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe

5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe

6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga😆 kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha

7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.

8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu

NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.

Naomba thread hii isindikizwe na wimbo wa Chike ft Mohbad- Egwu

Aiyeeee Aiyeeee Aiyeee Aiyeeee Uuuuuu Uuuu Uuuuu Aiyooo Iyoooo Uuuuu🎶🎶🎶
 
Kaka watu wanapumulia mashine hakuna kwa kusemea inabidi uje jf utoe tu povu tu hamna namna. Mana waweza kufa na dukuduku moyoni😆
Kuanzia Bomang'ombe, Lawate, Fuka, Sanya Juu, Namwai, Mpaka West Kilimanjaro
Endapo Nawe Umeoa Huko Thread Zinazotuhusu Ni Nyingi Mpaka Unaweza KumwAcha Mkeo
Haa Haa Kazi Kujiuguza, 🤣 Tanzania Ukibanwa Hupumui
 
Back
Top Bottom