Wameingia

20240502_215726.jpg
 
Nilijua tu Ukraine ni kama nyama inayoiva kwa moto mdogo taratibu kwa muda mrefu katika oven, lazima nyama ya aina hii itakuwq laini na kuiva vyema.

Hatimae imekuwa, Ukraine imeshindwa vita, kelele kila kona kuinusuru kwenye hatari, Pope anasema wakubali, France inasema inatuma askari, Us hapo juzi bungeni walikuwa wakipiga kura kuisadia dola bilioni 61 na tayari zimewafikia, hii si ishara nzuri.

Silaha za NATO zinazidi kukaangwa, kibaya zaidi silaha za bei nafuu kama drones za lancet na shahed zinafanya uharibifu mkubwa wa silaha za NATO zenye gharama za mabilioni.

Kama lancet drone ni dola 35K lakini ni moja ya silaha inafanya maajabu.

Iran ina silaha za bei nafuu wanazotengeneza wao ambazo zina madhara. Hawa jamaa walijikita zaidi kutengeneza makombora ya masafa marefu yenye usahihi katika shabaha, pia walijikita sana kutengeneza drones za gharama nafuu za masafa marefu na zinazopiga kwa usahihi mkubwa wa shabaha.

Ndio maana wamepeleka drones hizi Russia ambapo ni tishio.

Waliona hawana haja ya kuwa na ndege kama F-16 au F-22 kwa mamilioni ya dola huku kuna missiles na drones zitakazoweza kufanya maajabu yale yale kwa gharama nafuu , ambapo fighter jets ingeweza fanya. Sasa hapo mjanja nani? Nchi kama Iran kwa uwezo wa tech walipofikia hawashindwi kutengeneza ndege kama F-22 Raptor.

Russia na Iran wanafahamu siri hii, ni ngumu kukabiliana na nchi inatumia drone iliyofungwa engine ya pikipiki ya kichina na inapiga silaha zako za gharama.
Utaumia tu, tumeshuhudia pale Gaza vijana wana rocket za kienyeji wanapiga merkava tanks yenye gharama karibu bilioni 8.




NATO ndio bado wana ushamba kushindanisha silaha zao kwa gharama kubwa huku zinapigwa kila siku vitani na kuleta hasara kubwa. Lockheed Martin ni wafanya biashara, Boeing ni wafanya biashara. Wanapotengeneza silaha za gharama ndivyo wanaingiza faida kubwa.

Gharama NATO wanayotumia kupambana na Russia ni kubwa lakini bado Ukraine inazidi kumalizwa.

Pia France kusema itapeleka jeshi ni unafiki tu, nchi za NATO zimepeleka askari wengi tu Ukraine lakini wanakaangwa kila leo.

Hivyo hii vita si kama tuifikiriavyo, matarajio ya NATO kummaliza Russia katika nguvu za kijeshi wakijua atatumia Sukhoi jets na kila aina ya silaha za gharama kuipiga Ukraine mambo yameenda tofauti.
Hizo hypersonic tu Russia anazipiga pale inapohitajika tu.

Hii vita NATO itaaibika sana.
 
⚡ "If you can't give enough weapons to Ukraine, how are you gonna win against China" - Kuleba
View attachment 2979274

Amekosa shukrani huyu

Ishu iliyopo sio "enough weapons". Ishu ni air superiority

Juzi hapa Russia ametoka kuangamiza silaha kule Odessa, hizi za kifurushi cha $61bil. Pia akapiga train iliyokuwa inaleta silaha.

Sasa kwa namna hii concept ya enough weapons inatokea wapi?

Russia ameshafunga anga kwa satellites na ana monitor every movement. Mkileta silaha anajua movements zake. Sasa hapo unatarajia nini?
 
Amekosa shukrani huyu

Ishu iliyopo sio "enough weapons". Ishu ni air superiority

Juzi hapa Russia ametoka kuangamiza silaha kule Odessa, hizi za kifurushi cha $61bil. Pia akapiga train iliyokuwa inaleta silaha.

Sasa kwa namna hii concept ya enough weapons inatokea wapi?

Russia ameshafunga anga kwa satellites na ana monitor every movement. Mkileta silaha anajua movements zake. Sasa hapo unatarajia nini?
Hatari sana mkuu
 
Russian and American and troops now share the same military base in Niger.

Russian troops entered an air base in Niger where US troops are stationed.

Russian troops do not mix with US troops, but use a separate hangar at Air Base 101, Reuters reports.

The US has agreed to withdraw its more than 1,000 troops from Niger after Niger ended a military agreement with the US.
 
Austin amethibitisha
===========
“Russian forces are in Niger at the same base as the US military” said Pentagon chief Lloyd Austin.

-> Must be awkward in the cafeteria line

Austin also noted that the Americans are monitoring whether Russian have access to US military equipment.
 
Russian and American and troops now share the same military base in Niger.

Russian troops entered an air base in Niger where US troops are stationed.

Russian troops do not mix with US troops, but use a separate hangar at Air Base 101, Reuters reports.

The US has agreed to withdraw its more than 1,000 troops from Niger after Niger ended a military agreement with the US.
Aisee hizi ni nyakati ngumu sana kwa USA.
Wanapitia kipindi kigumu sana.
 
Hii mijamaa kwa kutengeneza silaha hakuna anaewazidi.
=========

The Russia has begun to use the new Dragon flamethrower system, reports the German Die Welt.

“With these terrible weapons, Russia is reaching a new level of cruelty,” the publication writes.

The system was named TOS-3. It is more powerful and, most importantly, long-range (up to 15 km) than TOS-1 and TOS-2 (4-6 km), and therefore cannot be hit by Ukrainian drones.

Previous TOS models (Solntsepek, Buratino, Tosochka) hit only from a short distance, and therefore were very vulnerable.

The “Dragon” launches missiles with thermobaric warheads of great destructive power, one salvo of which can turn several city blocks “into ruins,” along with military fortifications and even bunkers.
1714731164985.png
 
🇬🇧Ukraine has the right to use UK weapons against targets in Russia, says Foreign Secretary Cameron
 
Back
Top Bottom