🤣🤣🤣Kushinda siku moja mshajiona champions
sawaKama tatizo ni gharama mashabiki tupo tayari kuchangia.
🤣🤣🤣🤣 kavipi apakiweKweli my wetu haridhiki, kila akipigwa anataka tena.... tufanyeje?
Yaani, hao sasa ndio Simba halisi. Wanajikutaga sana, alaf hamna kitu.Kushinda siku moja mshajiona champions
Upuuzi wa timu lenu bovu kutolewa na Mashujaa kombe la FA. Tungekutana tuwape kichapo kingine, timu iongeze BangoNaishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga.
Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.