dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,762
- 16,522
- Thread starter
- #41
Kaz wanajuwa Ni kuandika posho tu na kuwafungia kina mondiAisee Basata ifungiwe kwa kushindwa kutimiza majukumu yake
Kaz wanajuwa Ni kuandika posho tu na kuwafungia kina mondiAisee Basata ifungiwe kwa kushindwa kutimiza majukumu yake
Wewe Ni mpuuz tu mm Nina wivu kwa vitu vya kijingaAcha dogo ajipatie lijimama we Jamaa Un wivu hadi kwa watoto
Si kanadindisha Acha kafosi
Watoto nisehem ya jamii. Jamii ukiwa na dosari mzazi huwezi kusimamia wawe sawa kwa asilimia zoteKosa ni lako. Usiwawekee watoto nyumba za miziki ya hovyo, wawekee nyimbo za dini
Mkuu huyu mtoto anajua maana ake kwanini achague verse hii tuYaani kuna nyimbo unakuta katoto ka shule kanaimba inabidi utafakari sana, halafu hawajui maana yake.
Kuna Yesu amnyandue nayo ni nyimbo ya dini mkuu.Kosa ni lako. Usiwawekee watoto nyumba za miziki ya hovyo, wawekee nyimbo za dini
Imagine unawukea za dini za kisabatho au kiislamu zitamjenga atakuwa na akili mbovu hata kuwa na uwezo wa kupambanua mambo.Kosa ni lako. Usiwawekee watoto nyumba za miziki ya hovyo, wawekee nyimbo za dini
Ni kweli wivu unao mkuu ila siyo kwenye hili sualaWewe Ni mpuuz tu mm Nina wivu kwa vitu vya kijinga
Astaghafirurah!!!!!Utawasikiaa watoto wanaimbaaa natoa mku-----n---d
Ova
Na ni juzi tu katoka kukemea hizi mambo kiuhalisia tu dunia ilipofikia ni kinaa.
ThmkwishaHahahahaha ni mwaka wa kufosi.
Hukuna kitu Happ aje aseme huu mstari ktk wimbo huu Kama una maadili
Mitaani Na Kwa Majirani Atausikia, Kwenye Sherehe Mashuleni Atausikia, Akipanda Daladala Atausikia. Labda Mfungue Mwanao Ndani Asichangamane Na Jamii. Mbona Sisi Tulikuwa Tunasikiliza Hakuna Kulala By Juma NatureKosa ni lako. Usiwawekee watoto nyumba za miziki ya hovyo, wawekee nyimbo za dini
Roma Mkatoliki Ni Msanii Mdogo?Basata wanaangaliaga majina ya wasanii. Ukiwa msanii mdogo hawakupigi ban
Mbona Huko Mbali 2030Mpaka kufika 2035 huko watoto wote watakuwa washatinduliwa kote kote
Ova