Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

Kosa ni lako. Usiwawekee watoto nyumba za miziki ya hovyo, wawekee nyimbo za dini
Mitaani Na Kwa Majirani Atausikia, Kwenye Sherehe Mashuleni Atausikia, Akipanda Daladala Atausikia. Labda Mfungue Mwanao Ndani Asichangamane Na Jamii. Mbona Sisi Tulikuwa Tunasikiliza Hakuna Kulala By Juma Nature
 
Wasamii hawana ubunifu walianza kuanika miili waziwazi, wameona hiyo mbinu imechacha, wakaposti video za pono na sasa ni kutukana.
Ikiwa kama anasaidia kampeni za chama unaweza achwa
 
Basata Kazi Yao Ni Kufungia Nyimbo Zinazo Ikumbusha Serikali Kuwajibika Kwa Wananchi. Kuwakumbusha Swala La Maendeleo Ukitoa Nyimbo Inayohusu Maendeleeo Au Kuwakosoa Waliopo Madarakani Nyimbo Itafungiwa. Bali Unachotakiwa Kufanya Msanii Wee Toa Video Ya Utupu Toa Nyimbo Za Matusi Wananchi Mtajijua Wenyewe. Ndiko Tulipo Fika Na Hata Kwa Sasa Ukitoa Wimbo Wa Maadili Mashahiri Mazuri Hutouza, Sababu Vijana Wa Jamii Ya Sasa Wanapenda Pombe Na Ngono, Kwa Hiyo Wasanii Nao Wameamua Kujikita Humo.
 
Dogo umwelewe ,Inaonesha hujatoboa ,anakuona dingi mizwengwe

Katafute ,hilo mama ili utoboe
 
Back
Top Bottom