Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

Kwa wadada wa mjini wanependa sana sehemu tunazoita za "Mikululo" yaani watu shazi maana hapo wanakula vichwa kama vinyozi ila kwa watu wenye familia sehemu kama hizo hazifai kuishi.

Sinza,Tabata,Magomeni,manzese,tandale,kinondoni hapafai kuishi kama una familia.

Sehemu nzuri kuishi na familia ni za nje ya mji ,watoto wanakua na maadili mema ,sio kukua sehemu ambao kila baada ya nyumba bar au kila bar kuna chimbo "la Mwamposa".
 
Back
Top Bottom