Rushwa na uchaguzi wa CHADEMA

tripof

Senior Member
Apr 2, 2024
150
187
Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
 
wapi zinapotoka pesa za kuchafua CDM mwaka huu mtaangukia pua. uchaguzi wa ndani hautawaacha salama.
 
Back
Top Bottom