Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,338
1,872
Salaam,
Kwa heshma na taadhima tunakumbushana;

Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024]
Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA.

Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022.

Ili kushiriki unalazimika kuwa na vigezo vidogo na vichache lakini ambavyo vinachujwa na kuangaliwa kwa umakini.
Miongoni mwake:
1. Uwe Raia mwema na halali wa Nchi hii
2.Elimu isiyopungua
kidato cha nne (High School ya Marekani)/Elimu ya juu Zaidi/Uzoefu usiopungua miaka mitano katika moja ya kazi ulioisomea angalau miaka miwili ktk miaka mitano iliyopita ambazo ni miongoni mwa zile zilizoidhinishwa na Wizara ya Kazi ya Marekani(Limefafanuliwa katika maelekezo rasmi) * Si Kila Kazi inakubalika.
3. Uwe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.
4.Ushiriki kwa taratibu iliyoelekezwa na ndani ya tarehe zilizotajwa kupitia tovuti mahsusi kwajili hiyo.

UNASHIRIKIJE?
Ni rahisi mno,
Utaja taarifa zako kutipitia mtandao na utaambatanisha picha yako na maelezo ya wanaokutegemea yaani Mke/Mume pamoja na watoto iwapo unao katika ushiriki mmoja na iwapo mme/mke wako nae anavyo vigezo stahiki nae pia anaweza kutumamaombi yake tofauti huku akikuhusisha wewe mwenza na hivyo kuongeza nafasi/uwezekano wa kufanikiwa zaidi.

Kushiriki ni bure ingawa zipo ada za lazima kulipia iwapo utachaguliwa na kuamua kuomba Viza yenyewe.

Hii kitu ni rahisi kuifanya ingawa inahitajika umakini mno kwani ukiivuruga mwanzoni inaweza kukugharimu hapo mbeleni iwapo utafanikiwa kuchagulia, unaweza kunyimwa Viza hata kama umechaguliwa kwa kosa dogo ambalo unaweza kulifanya kizembe hapa mwazo.
 
safii
 
Mbona haujataja kigezo cha kuwa na passport, maana hicho ni kipengele kwa vijana wengi
 
Vipi kuhusu aina ya picha ya kuambatanisha, unashauri tutumie njia ipi ili kupata picha yenye vigezo vinavyokubalika?
 
Mbona haujataja kigezo cha kuwa na passport, maana hicho ni kipengele kwa vijana wengi
Wamekiengua kipengele hicho.
Hulazimiki kuwa na Hati ya kusafiria ili kushiriki safari hii.

Utaihitaji Nyaraka hiyo mbeleni na iwapo utashinda na ukiendelea na mchakato wa kuiomba Viza yenyewe lakini hapa mwanzo unacheza tu pasi na shaka.
 
Una link ya ku apply ?
 
Tovuti ya kuombea/kucheza Bahati nasibu ni ipi mkuu
Usikimbilie kujaza mkuu,
tafuta mwenyewe ama nitumie ujumbe ili kupata maelekezo rasmi (pdf) rasmi ya mwaka huu ukishayapitia ndipo ucheze:
Ikikupendeza nitafute whatsapp: +255714591548
 
Back
Top Bottom