Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 7,333
- 13,813
For sureMimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
Mimi binafsi napenda mixtape za G.A.F.L.A BIN VUU
Huwa zinanipaga mzuka Sana na nguvu ya kufanikiwa kwenye mambo mengi Sanaa ya kimaisha..