Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Feb 23, 2024
587
3,334
Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
 

Attachments

  • Screenshot_20240502-101725_1.jpg
    Screenshot_20240502-101725_1.jpg
    225 KB · Views: 3
Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wakufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi
1. IM MESS by omah lay.
2. Bandana by fireboy
3. Like i do by fireboy
4. What if i say fireboy
5. Sijui by harmonize
6. Only you by christian bela & rosalee
HIZI HUWA NIKISIKILIZA NAPATA FEELING FLAN AMAIZING HASA NIGHT,
 
Daktari nimepata changamoto naomba unisaidie
Siumwi mafua ila nimevuta ile dawa ya mafua, sasa pua inauma sana chafya kama inataka kuja ila haiji pua inawasha kwa ndani matundu yote mawili
Nifanyaje hii hali ikate
Natamani hadi kulia
Niandikie inbox 🤣

Kiherehere leo kimekubamba.

Cha kufanya chukua maji na sabuni nawa mikono yako. Kisha chukua maji masafi na chumvi kisha safisha pua yako.

Unaweza pia kuchukua kitambaa kisafi ukalowanisha kwenye maji ya uvuguvugu kisha ukasafisha puani.

Lakini pia unaweza kujifukiza.

Hata hivyo, hiyo hali ni ya muda. Pole sana..
 
Back
Top Bottom