Nilichobaini kwa watu wa Njombe

Ufupi unaendana na kiburi, ubishi, kisirani na hasira.
Lakini sijaona haya mambo ukiyahusianisha..
Nilikuwa nataka nikujibu lakini nilipoiona id yako, nimebadilisha jibu.

Kwa mujibu wa imani yangu, "Satan" ni muongo. Kama id yako inaendana na wewe, basi jibu sahihi ni kinyume na ulichoandika.
 
Maeneo ya shule ya msingi Lunguya, pia I had a teacher in Mtss when it was nddt.!!
Nikieleza sana usije ukanifahamu maana jf ni msitu watu wanatembea wakati wa giza.!!
Duuu nakubali mkuu,
Nitakua nakufahamu vizuri tu hata ndugu zako nitakua nawahamu pia
Pia mpaka kuku zenu na ng'ombe nitakua nazijua ila kwa kua JF ni Chaka nene nipende kutangaza wewe ni ndugu yangu kabisaaaa!
😁😁😁
 
Nmegundua bado hujanifahamu hususan ulipozungumzia ng'ombe, hebu tuendelee kuserebuka na jf tukiwa hatufahamiani kama kawaida.!
 
usisahau katika mikoa ya kikodi Tanzania halmashauri zinazoongoza kwa makusanyo ya kodi.
1. Kinondoni
2. Njombe
3. Kahama
njombe nisehemu nilioipenda mno nilivyofika pale nilishangaa watu wanavyochakarika kutafuta hela. alafu ni watu wanaojenga na kuboresha kwao kule biashara zinakwenda poa mno ni muda tu umetoka kuwa mkoa nafikiri hauna hata miaka mitano.
naona njombe ndani ya miaka ijayo inaenda kuacha mbali sana majiji yalioanza kitambo
 
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom