Nilichobaini kwa watu wa Njombe

Mwenzako ameandika vitu vinavyoonekana wewe unaleta habari za kufikirika.

Ni wajinga wachache kama wewe ndio wanaamini mambo ambayo ukiambiwa thibitisha unaishia kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Mimi ni mzawa wa Njombe huwa nashangaa wajinga wanaokomaa kuongelea habari ambazo kiuhalisia hazipo.
madihani mahi bee
 
Tanzania nzima hakuna watu wenye sifa zote hizo labda kama umeamua kuwa chawa wa watu wa njombe.

Ni sehemu gani watu wanahangaika na maumbo yao ya kuzaliwa iwe urefu, ufupi, uwebamba au unene. Kama ni wanawake kutafuta uweupe wa mchina, wanawake wa njombe nao ni mafundi.

Wangekua majasiri, wakarimu, wasitarabu na kujiamini mkoa huo usingeongoza kwa takwimu za HIV, wasingekuwa wanaburuzwa CCM na mkoa ungekua na maendeleo lakini badala yake wamejaa imani potofu za kishirikina.

Uchapakazi unaakisi maisha halisi ya watu, lakini uchapakazi wa watu wa njombe ni kizamani usiozingatia tija, wanawake kwa wanaume kutwa wako shamba lakini mwisho wa siku masilahi kisoda kama ilivyo sehemu zingine za nchi..

Njombe ukimtoa yule jamaa anayelima parachichi nyingi Nemes, mexison na mwenye hillside waliobaki wana hela za ugali na niliowataja nao sio mabillionea. Njombe hakuna mabillionea.

Ni kweli njombe watu wanajituma sana kazi za kilimo lakini efficiency ni ndogo sana kwa sababu wanafanya kilimo cha kizamani .

Namalizia kwa kusema watu wa njombe hawana hizo sifa zote ulizoandika,ni watanzania kama watanzia wengine waliojaa ujinga na umaskini mwing,mtu maskini na mjinga hawezikuwa mstaarabu,mjasiri wala kujiamini.
Kwani kuwa mkarimu na maambukizi ya vvu kuna uhusiano gani!????

Maambuziki kule Njombe yanasemekana n kutokana na wengi hawatairi, baridi Kali hivyo lile tendo linafanyika frequently na muda mrefu na mwingiliano wa biashara.
Ila jamaa unaonesha roho mbaya hatari.!
 
Sasa uongo gani mkuuu takwimu huoni au.....acha ujuaji wa kijinga ....plus njombe kakaangu huko anafanya kazi mtwango halimashauri.......nimekuja mara kibao hapo mtwango wako busy kuzuia maambukizi na kutoa elimu ......takwimu kitaifa njombe iko juuu

So moja ya kazi ya serikali mkoa wa njombe upande wa afya kipaumbale kikuu ni kupunguza maambukizi ya HIV ...pamoja na utapia mlo kwa watoto kama ulikuwa hujui kijana

Pia before sijabishana na na ww una level ipi kielimu nisije kubishana na la saba au form four hapa bure.... ukiwa mbishi uwe unajua dunia hata kusoma kama la saba au form four sijui una certificate usijibu tena kaa kimya
Maeneo ya home hapo Mtwango.!
 
Nipo airport, uko njombe pia???
Wao! Kumbe Njombe kuna Airport!

Nilifikiri ni "chai" hadi nilipogoogle.

Ni Uwanja mdogo, lakini kwa mabilionea wanaoendelea kuongezeka Njombe, itafikia hatua itakuwa na Airport kubwa ya kuweza kupokea ndege kubwa ya mizigo, n.k.

The time will tell!
 
Mwenzako ameandika vitu vinavyoonekana wewe unaleta habari za kufikirika.

Ni wajinga wachache kama wewe ndio wanaamini mambo ambayo ukiambiwa thibitisha unaishia kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Mimi ni mzawa wa Njombe huwa nashangaa wajinga wanaokomaa kuongelea habari ambazo kiuhalisia hazipo.
Mwenzako ameandika vitu vinavyoonekana wewe unaleta habari za kufikirika.

Ni wajinga wachache kama wewe ndio wanaamini mambo ambayo ukiambiwa thibitisha unaishia kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Mimi ni mzawa wa Njombe huwa nashangaa wajinga wanaokomaa kuongelea habari ambazo kiuhalisia hazipo.
Mwenzako ameandika vitu vinavyoonekana wewe unaleta habari za kufikirika.

Ni wajinga wachache kama wewe ndio wanaamini mambo ambayo ukiambiwa thibitisha unaishia kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Mimi ni mzawa wa Njombe huwa nashangaa wajinga wanaokomaa kuongelea habari ambazo kiuhalisia hazipo.
Mwenzako ameandika vitu vinavyoonekana wewe unaleta habari za kufikirika.

Ni wajinga wachache kama wewe ndio wanaamini mambo ambayo ukiambiwa thibitisha unaishia kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Mimi ni mzawa wa Njombe huwa nashangaa wajinga wanaokomaa kuongelea habari ambazo kiuhalisia hazipo.
Mwenzako ameandika vitu vinavyoonekana wewe unaleta habari za kufikirika.

Ni wajinga wachache kama wewe ndio wanaamini mambo ambayo ukiambiwa thibitisha unaishia kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Mimi ni mzawa wa Njombe huwa nashangaa wajinga wanaokomaa kuongelea habari ambazo kiuhalisia hazipo.
Hatukutegemea jibu lingine zaidi ya hili hongereni njombe.
Pia naskia ukimwi n'je n'je
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
 
Wao! Kumbe Njombe kuna Airport!

Nilifikiri ni "chai" hadi nilipogoogle.

Ni Uwanja mdogo, lakini kwa mabilionea wanaoendelea kuongezeka Njombe, itafikia hatua itakuwa na Airport kubwa ya kuweza kupokea ndege kubwa ya mizigo, n.k.

The time will tell!
Ipo mkuu ingawa hakuna ndege zinazotua Mara kwa Mara sanasana ni zile ndogo ndogo. I hope miaka ijayo kutabadilika uwe uwanja mkubwa.
 
Nafikiri, katika kipindi cha miaka mitano ijayo, idadi ya ndege zitakazokuwa zinatua na kuruka kutoka Njombe Airport kwa wiki zitakuwa zimeongezeka mara kadhaa zaidi ya ilivyo sasa.
 
Ufupi unaendana na kiburi, ubishi, kisirani na hasira.
Lakini sijaona haya mambo ukiyahusianisha..
 
Back
Top Bottom