Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,638
- 12,996
Kujisitiri vema ni jambo la muhimu sana kwa wanaume, lakini pia zaidi sana kwa wanawake, ikiwa ni kwenye mihangaiko au safarini. Kujiandaa na dharura walau na kanga kwenye mkoba ni jambo la maana sana unapokua kwenye ibada za maombezi, sokoni n.k..
Katika matukio mengi hivi karibuni imekuwa ni fedheha na aibu sana hasa kwa mavazi au nguo za ndani, kutokua katika hali nzuri inapotokea dharura, ukilinganisha na mavazi ya nje na mtu mwenyewe jinsi alivyo. Vazi linakuwa kuu kuu mno, au haliko katika hali ya usafi.
Mawigi pia yameficha fedheha na aibu kubwa sana.
Inafedhehesha, inatafakarisha na inasikitisha sana
Ni vizuri kuvaa mavazi mazuri kuanzia ndani mpaka inje ya miili yetu 🐒