Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,371
- 13,126
Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao.
Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa tofauti na China yao yenye utajiri wa historia ya maelfu ya miaka yenye nguvu na wakakuelewa.
Wanaweza chukua hatua kali juu ya kauli hiyo ya kuonesha nchi yao haina maana mbele ya nchi ile ya mashariki ya kati.
Waafrika kwa kiasi kikubwa sana tumeathirika na ukoloni naweza sema kupita jamii zote zile zilizokuwa chini ya ukoloni.
Waafrika tuna sikitisha na kuhuzunisha sana