Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,689
- 12,038
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..
2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili
3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa
4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k
Ongeze na wewe