SoC03 Mzazi na mabadiliko kielimu

Stories of Change - 2023 Competition

acyer

New Member
Jun 11, 2023
1
46
STORIES OF CHANGE
JINA LA ANDIKO: MZAZI NA MABADILIKO KIELIMU.
MWANDISHI; ACYER MAMU
-MCHANGO WA MZAZI KATIKA MABADILIKO YA KIELIMU

Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu kadri ambavyo siku zimezidi kwenda.Mabadiliko hayo yameweza kupelekea kuongezeka kwa idadi kubwa ya wasomi katika nchi yetu tofauti na awali.Baadhi ya mabadiliko hayo ni kama vile elimu bure katika ngazi ya msingi na sekondari,pia kipaumbele kwa wasichana katika elimu.Ambapo imeonekana wasichana wamekuwa wakipewa kipaumbele katika sekta ya elimu tofauti na hapo awali.Ambapo idadi kubwa ya wasomi ilikuwa ni ya wanaume.

Hayo yote yameweza kupanua wigo wa elimu Tanzania na kupelekea kupunguza idadi ya watu wasiojua nchini.Lakini pia mbali na jitihada hizo zote zilizowekwa na serikali bado kumekuwa na changamoto kubwa za kielimu ambazo imeonekana wazi kabisa serikali haiwezi kuingilia maswala hayo bali Mzazi anaonekana kuwa ndiye mwenye jukumu kubwa katika kutokomeza changamoto hizo.

Mzazi ni sehemu kubwa ya mabadiliko ya kimaendeleo kwa mwanafunzi.Lahasha yasipofanyika yafuatayo na mzazi basi kuna uwezekano mkubwa wa mwanafunzi kushuka katika maendeleo yake ya kielimu.Wahenga walisema “Samaki mkunje angali mbichi” pia “Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo” nia kubwa ilikuwa kuelezea kuwa mwenendo na maendeleo ya mwanafunzi basi hutokana na msingi aliokuwa nao tangu awali.

Yafuatayo ni majukumu ya mzazi kwa mwanafunzi katika kuhakikisha mwanafunzi anapata elimu iliyo bora.

Afya ya akili.

Afya ya akili hujumuisha swala zima la utulivu wa kiakili pasi na msongamano wa mawazo kwa mwanafunzi.Mzazi analo jukumu kubwa la kuhakikisha kuwa anaijenga afya ya akili ya mtoto wake kwa kuhakikisha kuwa anasaidia kuchanganua changamoto mbalimbali zinazomkabili.Mzazi anapaswa kuwa muwazi kwa binti/kijana wake kwa kumshauri katika mambo mbalimbali kama vile mapenzi.Ushauri wa mzazi kwa mwanafunzi humfanya mwanafunzi aweze kuchanganua mambo kadha wa kadha yanayomkumba na kuimarisha afya ya akili hivyo basi kuweza kupambana vyema katika nyanja ya elimu.

Amani ya familia.
Familia siku zote inatakiwa kujengwa kwa amani. Hii inajumuisha maelewano chanya baina ya pande mbili za wazazi.Mambo tofauti tofauti kama vile unyanyasaji,ugomvi baina ya wazazi hupelekea msongo wa mawazo kwa mwanafunzi hivyo basi humfanya ashindwe kujisomea kwa weredi.Hivyo basi wazazi wanatakiwa kuijenga amani ya familia yao ili kutengeneza mazingira chanya kwa mwanafunzi.Ugomvi wa wazazi huweza kumfanya mwanafunzi akose muda wa kujisomea kwa mawazo.

Afya bora.
Mzazi anapaswa kujenga afya ya mwanafunzi kwa kuhakikisha kuwa mwanafunzi anapata chakula bora pia anazungukwa na mazingira safi na salama.Mazingira machafu kama vile vidimbwi,husababisha madharia ya mbu ambayo inaweza kupelekea kutokea kwa mlipuko wa magonjwa kwa mwanafunzi kama vile malaria na kupelekea mwanafunzi kukosa kuhudhuria vipindi kwa wakati na kushuka katika maendeleo yake hivyo mzazi analo jukumu kubwa la kuhakikisha mwanafunzi anapata cgakula kilicho bora ili aweze kupata afya bora.

Kuheshimu wakati mwafaka wa kujisomea.
Mzazi ndiye anapaswa kuheshimu muda mwafaka wa mwanafunzi wa kujisomea pia anatakiwa kumsimamia katika wakati huo.Mzazi hatakiwi kuingilia wakati wa mwanafunzi wa kujisomea kwa kumpa kazi za nyumbani kama vile kuosha vyombo,kupika au kufua kwani hali hiyo huweza kumfanya mwanafunzi ashindwe kujisomea kwa wakati kutokana na kazi nyingi ambazo wakati mwingine zinapelekea uchovu.

Kuhakikisha mahitaji muhimu ya mwanafunzi kwa wakati.
Mzazi anapaswa kuhakikisha kuwa mwanafunzi anapata mahitaji yake kwa wakati kama vile vitabu,sabuni,daftari na pesa za matumizi.Kucheleweshwa kwa mahitaji ya mwanafunzi kwa wakati humfanya mwanafunzi kukosa amani na uhuru na kumfanya achukue muda mwingi kujiona mpweke na kushindwa kujisomea.hivyo basi kushusha maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma

Misingi ya kidini.
Dini imekuwa ni kitu ambacho kimepelekea hofu kubwa kwa waumini juu ya Mungu.Mzazi ndiye anatakiwa kumjenga mwanafunzi katika misingi ya kidini tangu akiwa mdogo.Hofu ya Mungu humfanya mwanafunzi kujijenga katika maadili mema na kuacha kujihusisha katika matendo tofauti tofauti kama vile wizi,ubakaji,ukabaji au makundi tofauti tofauti ya ajabu na kumfanya ni mwenye bidii kubwa ya kujisomea pasi na kushiriki katika matendo maovu.Hivyo hupelekea maendeleo makubwa katika elimu kwani mwanafunzi anapokosa hofu ya mungu hupata uwanja mpana wa kufanya matendo maovu ambayo yanaweza kupelekea kukwamisha masomo yake.

Ushirikiano na walimu.
Mzazi anatakiwa kuwa msikivu na mwenye ushirikiano mkubwa kwa walimu juu ya kufatilia maendeleo ya mwanafunzi.panapohitajika mzazi kuhudhuria vikao vya shule mzazi anatakiwa kuongozana na mwanafunzi na kushiriki vikao hivyo kikamilifu .Swala hilo hupelekea matokeo chanya katika maendeleo ya mwanafunzi.

Masomo ya Ziada.
Mzazi analo jukumu la kumuhakikishia mwanafunzi anapata masomo ya ziada.Hii yaweza kuwa kwa kipindi cha likizo au baada ya kumalizika kwa vipindi vya shule ili kumpunguzia mwanafunzi wakati wa michezo na kumfanya aweze kuweka jitihada kubwa katika masomo yake.Hali hii hupelekea maendeleo chanya katika elimu.

Kutoshiriki mila potofu.
Zipo mila tofauti tofauti ambazo wazazi wa wanafunzi ndio wamekuwa kipaumbele katika kusimamia mila hizo kama vile ukeketaji,ndoa za utotoni,ambazo zinaweza kuchochea mwanafunzi kutoshiriki kikamilifu katika masomo na wakati mwingine kuacha kabisa.Hivyo basi wazazi wanalo jukumu kubwa la kuachana na mila hizo ili kuweza kuwapa wanafunzi nafasi ya kusoma kwani wao ndio wahanga wakubwa wa janga hilo.

Hitimisho

Hivyo basi,
ili kuweza kuinua elimu wazazi wanaonekana kuwa na mchango mkubwa katika kusimamia maendeleo ya kielimu kwani elimu ya mwanafunzi huanza na nia ta mzazi kutaka kumpeleka shule mwanafunzi .Pia tofauti na mzazi walimu wanao wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu iliyo bora ili kuweza kupanua wigo wa kielimu nchini.Wajibu wa mwalimu kwa mwanafunzi ni kama vile kutengeneza mahusiano chanya baina ya mwalimu na mwanafunzi.

Mwanafunzi hatakiwi kuwa muoga kwa mwalimu wake hasa pale inapotokea ana changamoto fulani za kitaaluma mwalimu inatakiwa awe wa kwanza kufahamu hilo na kutafuta namna ya kulitatua lakini hii imekuwa tofauti kwani wanafunzi wengi wamekuwa wakijengewa uoga kwa walimu wao.Wajibu mwingine ni walimu wanatakiwa kuwa nadharia(kutumia dhana) katika ufundishaji hii humsaidia mwanafunzi kuelewa kwa urahisi kuliko maneno. Yapo masomo kama vile kompyuta mwalimu anatakiwa kufundisha kwa kutumia dhana lakini wapo wanafunzi wengi wanaofundishwa kwa maneno hivyo hupelekea ugumu katika kuelewa kwa ueredi.
 
Kwenye hitimisho hapo mkuu mimi naona tofauti kidogo.
1; Mwl kumjengea mwanafunzi mahusiano ukimaanisha kwamba mwanafunzi amuone mwl kuwa ni rafiki mwema ili awe na ujasri na amani ktk ufundishwaji na ujifunzaji.

Ni sahihi,lkn vp kwa wazazi ambao huwaongelea walimu vibaya (negatively) mbele ya watoto wao,unadhani hilo unalolisema ni rahisi kwa mwl kulifanikisha kwa mwanafunzi mwenye mzazi wa namna hii?

2; Umezungumzia Mwl kufundisha kwa nadharia na siyo maneno (nadhani ulitaka kusema Mwl afundishe kwa vitendo na siyo nadharia).

Ni sahihi,lkn mkuu naomba nikuulize jambo moja;
Unazungumzia Mwl anaye fundisha st Mary's,Feza au st Kayumba?

Hivi unajua kwamba hizi st Kayumba hata maabara hazina?

Unajua kwamba km st Kayumba ina jengo la maabara basi hakuna vifaa wala mtaalamu wa maabara?

Unajua kwamba hizi st Kayumba zina upungufu mkubwa sana wa walimu na hata walimu waliopo hawana makazi na pia hawalipwi fedha za makazi wanayo tumia?

Mabadiliko ni muhimu sana kwa pande zote tatu yaani serikali,wazazi na walimu huku mwanafunzi akiwa amebebwa na haya makundi matatu.

Suala la kumtupia mwl kila aina ya lawama halita tusaidia hata kidogo. Tutaishia kutoa matamko ya kisiasa na yataisha kisiasa.

Tuamue kwa dhati na siyo kuwasikiliza hawa wachumia tumbo,hawana nia njema hata kidogo na elimu ya mtoto wa Mtanzania mwenye kipato cha chini.
 
Hakika madam
 
Ni kweli jmn wazo z

Wazo zuri kwa wazaz
 
Nice !💓 positive mind 👏
 
❤️😉 done
 
binafsi nimekuelewa ngoja nisaport kazi yako
 
mwandishi nguli wa vitabu
 
Back
Top Bottom