dilma
New Member
- May 5, 2019
- 2
- 4
Mzee mbona umepiga picha jengo linalojengwa na shabibi ambapo ilikuwa itigi ?Picha na: dilmaline July 2019View attachment 1386331View attachment 1386332View attachment 1386333
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kati kati ya mjimorogoro ni moja ya mikoa ambayo natamani sana siku moja nije niishi huko
Pameshasafishwa ni janga la siku moja tu...acha unafki uende mbinguniHapo ni kati kati ya mjiView attachment 1387107View attachment 1387108
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijawahi kutokea tope kutapakaa mji mzima. Tatizo nini hasa?Pameshasafishwa ni janga la siku moja tu...acha unafki uende mbinguni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuuu hiyo chuma ya MSD imekula lumbesa ya Dawa hapo dereva huenda anaitafuta Buhigwe Watanzania wakapate tiba.Hiyo picha ya juu cruiser imekula mzigo wa kutosha, cheki ilivyochutama.
Hapana. Hiyo ni Nyegezi ZimbabweMzee mbona umepiga picha jengo linalojengwa na shabibi ambapo ilikuwa itigi ?
Kwani hyo ndio morogoro?
Sent using Jamii Forums mobile app