Mrejesho: Nataka Kumuacha, sina pa kuanzia

Ndivyo wanaume waaminifu wanayoyapitia, sometimes unawaza kuwa mpigaji tu na muhuni ila si kushauri uwe hivyo maana baya halilipizwi kwa baya bali kwa wema, wanawake wengi wanachukulia wanaume wapole na waaminifu kama mazoba ila sio haiko hivyo wengi ni wastaarabu na wamepata makuzi mazuri.
Upo sahihi kabisa, na mara nyingi kiburi cha mwanamke huwa kinafika wakati wa kukoma, na hapo ndipo anakumbuka yote alofanya kwa mtu aliyempenda na kumuamini, hii hata kwa wanaume pia inatokea.
 
Kuna mwanamke nilizaa nae akawa ananilitea dharau nikapiga chini nikaoa mwingine mkali kuliko yeye kwasasa amekuwa single mama na jeuri yote aliyokuwa nayo imeisha amekuwa mpole maana analiwa tu na masela wanamuacha apo kwa kifupi amekuwa azam tv burudani kwa wote.Move on bila kuyaogopa nipige kifuani sema mimi ni mwanaume hakikisha unajipenda unavaa vizuri pendeza na nukia utapata pisi kali kuliko iyo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Umechelewa sana kufanya maamuzi. Ukishafanikiwa kuhama yunaomba mrejesho
Mpaka sasa tayari nimeshahamisha vitu vyote ndani na leo leo mpangaji mwingine kapatikana..Hivyo akienda pale (maana funguo anayo atajaribu kufungua anione)atakutana na mpangaji mpya ndipo akili itaanza kurudi
 
Ndivyo wanaume waaminifu wanayoyapitia, sometimes unawaza kuwa mpigaji tu na muhuni ila si kushauri uwe hivyo maana baya halilipizwi kwa baya bali kwa wema, wanawake wengi wanachukulia wanaume wapole na waaminifu kama mazoba ila sio haiko hivyo wengi ni wastaarabu na wamepata makuzi mazuri.
Nimeamua kua mpigaji rasmi
 
Mpaka sasa tayari nimeshahamisha vitu vyote ndani na leo leo mpangaji mwingine kapatikana..Hivyo akienda pale (maana funguo anayo atajaribu kufungua anione)atakutana na mpangaji mpya ndipo akili itaanza kurudi
Safi sana, usimuonee huruma mwanamke utakufa mapema.
 
Mpaka sasa tayari nimeshahamisha vitu vyote ndani na leo leo mpangaji mwingine kapatikana..Hivyo akienda pale (maana funguo anayo atajaribu kufungua anione)atakutana na mpangaji mpya ndipo akili itaanza kurudi
Kama muvi vile dah Aaliyyah popcorn hazijaiva huko?

Mkuu umefanya jambo la maana sana kujiepusha na mtu ambae haeleweki.
 
Back
Top Bottom