Mrejesho: Nataka Kumuacha, sina pa kuanzia

bagabe

JF-Expert Member
May 8, 2014
483
603
Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia.

Ipo hivi;
Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya binti fulani nimeishi nae 5 years ila nilipotezea hisia nae na kuhitaji kuachana nae.Wapo walionikejeli na kunitusi kwamba nimemchezea binti wa watu kwanini nimuache n.k. Nikaona sio mbaya wacha nikomae nae tu.Sasa siku zimezidi kwenda nikaona khali ya utofauti kwake ikiwemo kuchelewa kurudi nyumbani au kutorudi kabisa akitoka kazini kwake wala sikutilia maanani(kosa kubwa sana nililifanya).

Siku za nyuma kidogo niliwahi kumkamata na sms kwenye simu yake akichat na jamaa fulani huko karibu na kazini kwake kwamba anamla,binti alikua anajiachia sana kwa jamaa kwamba anafurahia uwepo wake.Nikamcheki jamaa nikamwambia nashukuru ila nakuachia binti uendelee nae mimi nimeshindwa akasema alikua anatoka nae zamani kwasasa hawapo pamoja hivyo mmalizane wenyewe.Nikambana na kutishia kumwacha akajitetea kwamba hatoki nae nikafunika kombe mwanaharamu apite(kosa kubwa sana nililifanya).Siku zikazidi kwenda lakini sikua nafurahia mapenzi kati yetu hasa ikija suala la sex yani ilikua ilimradi nikojoe.Kuna time hata umchezee vipi ule ute kwenye uke nilikua siupati.

Sasa juzi kama kawaida yake akanipigia mme wangu tumepata msiba kwenye familia yetu hivyo nitarudi badae nikuage then naenda msibani na ndugu zangu nikasema sawa.Akaja kuniaga hivyo akaondoka zake.Sasa akili ikaanza kufanya kazi ili nijue ni kweli kaenda msibani au lah.Na muda huo hadi familia yangu nikawaambia ameenda msibani kuna kaka ao upande wa mama mkubwa amefariki(binti yupo karibu sana na familia yangu).Haikupita muda akasema nimefika ila simu haina chaji nimesahau ofisini hivyo sitopatikana nikutakie usiku mwema,wakati alipotoka nyumbani aliondoka na chaja(akili ikaanza kufanya kazi zaidi).

Ule usiku sikulala kabisa nikawa natafakari nini cha kufanya.Asubuhi na mapema nikapata wazo la kwenda kwao kuulizia kuhusu msiba.Aisee nafika kwao nakuta mama ake,mdogo ake wote wapo ila yeye hayupo.Nikasalimia pale na kuuliza vipi mwenzangu toka jana hapatikani imekuaje.Mama ake akasema aliniaga anaenda kwenye sherehe na rafiki zake hivyo mpaka saiz hajarudi ila akirudi nitamsema kwanini hajakuaga(sikusema ishu ya msiba).Nikasema sawa mimi naenda nilitaka nijue tu kama yupo sawa.

Kiukweli iliniuma sana kuona nadanganywa asubuhi kweupe tena hadi na mama ake anashiriki kwenye huu uongo.Nimeiaminisha familia yangu ameenda msibani kumbe ni stori tu ya kusadikika.Nikapanga plan ya kujitoa kwenye maisha yake rasmi.Baadae kidogo akarudi akachukua simu ya mama ake akanipigia na kusema nisamehe mme wangu jana nilikudaganya sikuenda harusini nikasema sawa hamna shida kua na amani.Akasema sirudi maana najua utakua na hasira.Hivyo mpaka muda huu hajarudi niliongea na mama angu anasema analia tu(aliongea na mama ake binti).

Niliporudi nyumbani nikachukua uamuzi wa kuhama ninapoishi kwenda kuanza maisha mapya sehemu nyingine bila uwepo wake nikianza kujitafuta bila mwanamke pembeni yake(kua muunini mkubwa wa operesheni kataa ndoa).Leo jioni natoa vitu vyangu vyote nakumuachia nguo zake tu akija aondoke nazo maana nimeshapata nafasi ya kumove on yeye akiwa kisababishi.
Wakuu,wanawake ni viumbe wa hatari sana kuliko nyoka hivyo tuishi nao kwa akili.
NAOMBA KUWASILISHA 🙏.
 
Wataka kumuacha lakini huna pakuanzia. Jitafakari sana na tafuta pesa Kwa hasira sana. Inaonekana demu anakuzid uchumi au inaonekana unampenda kuliko mama Ako mzazi. Hawa mbwa wakikuzidi fedha au wakajua kwao hupindui watakufanyia vituko vyote.

Na haikua na haja ya kuhama ilitakiwa yeye ndio ahame au aondoke na uwambie wazazi wake ukweli, na umrudishe kwao kabisa, uwakabidhi furushi lao.
 
Wewe ndio huna msimamo. Usilaumu asiyepaswa kulaumiwa jilaumu mwenyewe. Umefuga nunda halafu unashangaa matokeo.You reap what you sow.
Huwezi kupanda mbigiri ukavuna mahindi.
Sasa mkuu ishu ya msimamo inahusiana nini na kilichotokea juzi.
 
Back
Top Bottom