Mpuuzieni Christina Shusho, anatumika na shetani kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa

Huyo kulumbembe kakutana na Wazee wa kula tunda kwa masihara wakamramba sehem za kisime cha mmasai wakapita na tigo huduma kwa wateja wakamalizia na soko la katererohapo hapo akaona maisha ndo haya nilichelewa wapi akingalia mmewe anampa pigo za kipaloko kichwa kimevurugwa yule mwacheni akija kuji factor reset mambo yalisha haribika
da we jamaa fala sana....kisimi Cha kimasai??
 
Pale pa kumhukumu mwanadamu mwenzetu tujiangalie sisi tumesiamamia wapi? ndipo tumhukumu kiasi hicho. Na iwe heri kwa kila mwanadamu kuomba na kufanya toba kwa Muumba wake pasi kuhukumu nafsi ingine, kwamaana hakuna aliye msafi chini ya jua hili.
 
Wewe ndiye mjinga wa mwisho. Sharti ungezaliwa mwanamke basi ungeelewa. Christina muacheni kabisa awe huru, hakuna kitu kibaya kama ndoa za utotoni, desturi za makaba kama wamasai na mengine mtoto hasa wa kike hahesabiki kama binaadamu bali ni kama bidhaa ya kutotoa watoto na hana mchango.

Kilichomtokea Christina kina kundi kubwa sana la wanawake waliopitia hiyo hali ya wazazi kukataa kuwasomesha watoto wa kike na kuwaoza kisa eti watatiwa mimba huko shule. In short Christina ni mwanamke shujaa, Mungu ambariki. Hatuendi mbinguni kwa kuwa na ndoa maana hata mbinguni hakuna kuoana wala kuolewa!
Sawa
Akae kimya....!
 
Wewe ndiye mjinga wa mwisho. Sharti ungezaliwa mwanamke basi ungeelewa. Christina muacheni kabisa awe huru, hakuna kitu kibaya kama ndoa za utotoni, desturi za makaba kama wamasai na mengine mtoto hasa wa kike hahesabiki kama binaadamu bali ni kama bidhaa ya kutotoa watoto na hana mchango.

Kilichomtokea Christina kina kundi kubwa sana la wanawake waliopitia hiyo hali ya wazazi kukataa kuwasomesha watoto wa kike na kuwaoza kisa eti watatiwa mimba huko shule. In short Christina ni mwanamke shujaa, Mungu ambariki. Hatuendi mbinguni kwa kuwa na ndoa maana hata mbinguni hakuna kuoana wala kuolewa!
Huna akili.
 
Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo mtupu bali ana msingizia Mungu.

Ikiwa mungu kwenye amri zake akisema kuwa usizini, na kuna baadhi ya mistari ya kitabu kitakatifu akihimiza kuwa ''nendeni duniani mkazaliane'' lakini mungu aliibariki ndoa na akaleta utaratibu maalumu kuwa mke na mume waoane, MUNGU wetu hakusema kuwa ''mwanamke au mwanaume avunje ndoa ili akamtumikie''

Ukimsikiliza Christina Shusho kwa jicho la tatu hoja yake ni batili kabisa mpaka unashangaa huyu anasoma biblia gani?? mbaya Zaidi anatumia umaarufu wake na kuanza kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa sasa sijui anataka kutengeneza kizazi cha namna gani kizazi ambacho kitakua hakitaki ndoa bali kinataka zinaa tu

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Shusho hazini au hana mtu wa pembeni anayemsaidia haja zake hakuna kitu kama hicho, kwa tamko lake la kusema kuwa kaachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu huu ni ushetani unaohimiza zinaa kwa mashabiki wake wa nyimbo zake za kiinjili

Nitoe ushauri wangu kwa wadada/wanawake waliopo ndani ya ndoa na wanaotaka kuolewa wapuuzie upuuzi wa shusho kwani Mungu hakuandika kuwa mtu ache ndoa yake ili akamtumikie ila anachokifanya shusho ni kujificha tu ili asiulizwe na watu kwa nini unaishi single mother na wakati wewe ni mtumishi wa mungu?
amekua akidhihakiwa na masahabiki zake kwenye mitandao kuwa single muda wote na mashabiki huwa wanamua, mbia kuwa anazini maana ni ngumu kuwa single kwa binadamu uliyekamilika kwa muda hata wa mwaka mmoja.
Orodha ya wasanii wa injili wa kike walio achana na ndoa zao baada ya umaarufu:
1.Sarah Mvungi
2.Neema Mwaipopo (sipati picha)
3.Bahati bukuku (waraka)
4.Florah Mbasha
5.Janeth Mrema (Piga makofi)
6.Upendo Kilahiro (Mungu unaishi)
7.Angel bernard (siteketei)
8.Martha Mwaipaja
9.
10
11.

Ni kweli waimbaji wote hawa waliolewa na wanaume wabaya?

ANGALIZO:
Ukiwa na mke, mchumba ni mwimbaji asiye na jina. basi uhai wa mahusiano yenu yako mashakani umaarufu ukimvaa.

# KIJANA KATAA NDOA
 
orodha ya wasanii wa injili wa kike walio acha ana ndoa zao baada ya umaarufu:
1.Sarah Mvungi
2.Neema Mwaipopo (sipati picha)
3.Bahati bukuku (walaka)
4.Florah Mbasha
5.Janeth Mrema (Piga makofi)
6.Upendo Kilahiro (Mungu unaishi)
7.Angel bernard (siteketei)
8.Martha Mwaipaja
9.
10
11.

Ni kweli waimbaji wote hawa waliolewa na wanaume wabaya?

ANGALIZO:
Ukiwa na mke, mchumba ni mwimbaji asiye na jina. basi uhai wa mahusiano yenu yako mashakani umaarufu ukimvaa.

# KIJANA KATAA NDOA
9.Atosha kisava.(Kila mtu anasema u mwema ..)
10. Martha (huyu nimesahau jina lake pili,ukiacha huyo mwaipaja)
11.christina shusho mwenyewe 😬
 
Huyu dada hebu mpumzisheni! Hakuna kitu kibaya kama kuozeshwa. Asikwambie mtu tena ukiwa hujapata fahamu. Kajieleza alikuwa hajapenda aliozeshwa alivopata akili akaiacha ndoa. Umeshawahi ishi na mwanamke usiempenda? Hata nyumbani unaona mzigo kurudi sasa imagine umelazimishwa kuoa. Ni dhambi kubwa zaidi maana roho yako haiko pale na sio maamuzi yako hivo hata kama
Ubaki kwenye hio ndoa Mungu hatakuhesabia haki. Mungu ametupa free will na hatuhukumu pale tunapoamua kuitumia. Imeandikwa sio
Lazima kuolewa lakini kama umeshindwa kuvumilia oa. Sasa sielewi shida ni nini mnavyomuandama
 
Back
Top Bottom