NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,398
- 13,004
- Thread starter
- #61
HATARI SANA MKUUMuacheni huyo dada ajipigie mapene ya wajinga waliojazana kwenye mfumo wa dini.
Mtu yeyote makini aliyekuwa na imani ya kutosha, kufunga, kusali na kufuata masharti ya dini, atagundua uzushi uliojificha ndani yake chap chap na anaweza kuamua kutumia fursa hiyo kiuchumi badala ya kiimani.
So, Shusho ana haki ya kuishi anavyotaka na si watakavyo mababu wa kiyahudi.