magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 7,683
- 14,026
Yani leo Simba imekua ya kawaida?! Rejea kauli zenu kipindi Yanga anacheza shirikisho. Kumbe kuna muda akili huwa zinarudi.Basi waambie mashabiki wenzio wa yanga waache kujiita wakubwa, sisi simba tunajijua kwamba ni wa kawaida sana wala hatuna ukubwa wowote, ila ninyi kutinga tu hatua ya makundi mkaanza kujiona wakubwa sana