Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

Kinondoni kufanya nini wakati taarifa zote zipo kiganjani Mwetu juu ya majina yote yaliyopitishwa katika kanda zote Tangia muda tu? CCM ipo mbele ya wakati. Hata ningetaka kuyaweka hadharani humu jukwaani ningefanya hivyo lakini mimi huwa sikurupuki kwa kila jambo.
Kwa hiyo hata mpango wa kuzichukua fomu zile mda ukiwadia mnesha upanga,au kutoroka ufisi zile za kupokea fomu๐Ÿคช
 
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.

Dickson Lucas Matata

Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na kusimamamiwa na Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama.

===

Usiondoke JF kwa vile tutakuletea majina mengine na kanda zake kwa kadri yanavyoendelea kutolewa .

Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi wateuliwa Kanda ya Nyasa

View attachment 2993148View attachment 2993149

John Pambalu ateuliwa kugombea Kanda ya Victoria

View attachment 2993198
Warudishe pesa ya Abdul
 
Na kiherehere chako ungeacha kuyaleta humu?
Huyu Lucas Mwashambwa huwa akiamua kumwaga pumba zake huandika makala ndefu balaa..

Cha ajabu hajawahi kuwa acknowledged kwa kupewa hata ukatibu tarafa tu.

Huyu Lucas Mwashambwa anapitia route ya Pascal Mayalla ya kusifu, kulamba viatu vya watawala na mwishowe rafiki yetu huyu kazeeka bila kupata uteuzi wowote..

Hii ya kutegemea kuabudu watu ili uishi hapa duniani, ni fedheha na hatari sana aisee..

Mimi sitashangaa ikitokea Lucas Mwashambwa akapotea ghafla hapa jukwaani au akabadili ID kabisa na kuanza kuiponda CCM yake na kuisifu CHADEMA..

Hii itakuwa ni kwa sababu ya disappointment atakayoipata huko CCM kwa matarajio yake kutofikiwa..

Leo mwenzake Pascal Mayalla hajulikani ni wa moto, baridi au vuguvugu..

Hata hivyo, nampenda Pascal Mayalla kwa sifa moja nzuri. Ni jasiri. Huwa habadili ID yake bila kujali amepata au kakosa. Utamgundua yuko wapi kwa hoja zake tu, basi..๐Ÿšถ๐Ÿป๐Ÿšถ๐Ÿป๐Ÿšถ๐Ÿป๐Ÿšถ๐Ÿป๐Ÿšถ๐Ÿป๐Ÿšถ๐Ÿป

Na kuna Chawa wa CCM humu miaka ile, walikuwa hatari kuliko Lucas Mwashambwa. Baada ya kuwa disappointed na CCM, hata haijulikani wako wapi leo..
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Daaah
 
Back
Top Bottom