Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 10,414
- 16,268
Tulimaliza huu mjadala kwa kusema katika huu Muungano Zanzibar ndio yenye sauti na ndio inaitawala Tanganyika. Nyerere alizidiwa akili kwenye hilo.
Wanao neemeka na muungano huu ni wazanzibari pekee, Watanganyika kutwa kulia lia tu kwenye mitandao tu. Hakuna lolote mtafanya, nikipata madaraka ya uraisi angalau siku moja jambo ambalo nitafanya katika hiyo siku ni kuvunja huu Muungano uchwara.