Wanaoushikilia ni CCM.Unaweza Dhani wenye shida na Muungano ni Wazanzibar kumbe ni Bara
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Nafikiri kuna kila sababu za kuanzisha Vuguvugu la Wazi kwa vitendo ili kupinga kabisa huu Muungano fake, kwa sababu kila kukicha Mambo mapya mabaya yanazidi kuibuka kuhusu Muungano huu.
Ngoja waje kukujibu.Mwinyi wa Mkuranga ni Rais wa Zanzibar.
Basi Subirieni nyie Machadema mtauvunjaWanaoushikilia ni CCM.
Huo ndio mzizi wa fitna.
Nani atamfunga paka kengele?
Haya maana hautakuwepo Duniani kwa kipindi hicho na hautaweza kufurahia kuvunjika kwa hili gunia la misumariBasi Subirieni nyie Machadema mtauvunja
Huo upumbavu mtafurahie nyie punguani,usinihusishe na mambo ya kijingaHaya maana hautakuwepo Duniani kwa kipindi hicho na hautaweza kufurahia kuvunjika kwa hili gunia la misumari
Wabaguzi sana haoMnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Ccm na wenyewe waliuchka sana..Wanaoushikilia ni CCM.
Huo ndio mzizi wa fitna.
Nani atamfunga paka kengele?
Sasa hautakuwepo kwa kipindi hicho, wala usikasirike. Watafurahia watakaokuwepoHuo upumbavu mtafurahie nyie punguani,usinihusishe na mambo ya kijinga
Maajabu yaliyoje.Unaweza Dhani wenye shida na Muungano ni Wazanzibar kumbe ni Bara
Wanatabia ya kufungana midomo.
Kwaheri MUUNGANO.Kama Kuna mtu anaweza kumjibu Lissu Video hii hapa ajibu
View attachment 2978870