Wazo zuri lakini ujenzi holela ni kikwazo kikubwa kwa suala la ukusanyaji taka wenye tija hapa nchini. Pia, halmashauri zina ukiritimba unaowavunja moyo wazabuni wa ukusanyaji taka.
Kwa ujumla suala la mipango miji mibovu na ujenzi holela ni kikwazo kwa mambo mengi.
Asante sana kwa mchango wako.Kazi nzuri sana mkuu. Changamoto kubwa ni namna ya ukusanyaji wa malipo. Ingekuwa wakati wa utupaji (uwekaji kwenye dustbin) kama kuna sensa malipo yafanyike taka ziwekwe au namna ya kuzilipia kwa kilo kama tunavyo pima uzito wa mzigo.