Nitashukuru sana mkuu kama ukinisaidia details muhimu katika hiki kilimo.Kilimo kizuri sana hiko. Mi nalima huku Makete Mkoa wa Njombe pamoja na kule Kilolo Mkoa wa Iringa kwenye mashamba ya ASA na nimeingia mkataba na ASA kulima mbegu. Noti ipo sana kwenye Kilimo mkuu.
Tiririka mkuu ,tupate madiniKilimo kizuri sana hiko. Mi nalima huku Makete Mkoa wa Njombe pamoja na kule Kilolo Mkoa wa Iringa kwenye mashamba ya ASA na nimeingia mkataba na ASA kulima mbegu. Noti ipo sana kwenye Kilimo mkuu.
Mzee unasubiriwa, moto umeuwasha unakimbia tena njoo usimamie moto wako kabla haujasambaa.Kilimo kizuri sana hiko. Mi nalima huku Makete Mkoa wa Njombe pamoja na kule Kilolo Mkoa wa Iringa kwenye mashamba ya ASA na nimeingia mkataba na ASA kulima mbegu. Noti ipo sana kwenye Kilimo mkuu.
Ningejua kuna hii mada leo nilipoenda shambani kukagua ngano yangu na Bwana shamba mmoja wa Serikali kule Kilolo ningepiga picha vizuri.Mzee unasubiriwa, moto umeuwasha unakimbia tena njoo usimamie moto wako kabla haujasambaa.
Asante sana mkuu.Ni Kilimo rahisi kisicho na gharama sana. Kwa huku Makete na kule Kilolo ninapolima, roughly gharama zake ni kama ifuatavyo kwa Ekari 1:
1. Kukodi Shamba Tsh 50,000
2. Kulima Ekari 1 Tsh 70,000
3. Mbegu Kilo 50-75@2500
4. Kupanda Tsh 50,000
5. Mbolea Pandia 1bg Tsh 75,000
6. Kiuagugu(2,4-D) Tsh 24,000
7. Viuatilifu(Lumps) Tsh 50,000
8. Uvunaji Tsh 50,000
9. Kubeba/safirisha Tsh 50,000
10. Vifungashio 10-12@1000
Jumla kuu Tsh 550,000/=
Mavuno: 10-12 bgs@100Kg Tuchukue 10 tu sawa na Kilo 1000
Kilo 1 Sokoni inacheza 1500 hadi 2000. Tukichukua minimum 1500×1000=1,500,000/=
Faida= 1,500,000-550,000
Roughly 950,000 ndani ya miezi 3.
Hapo ni kila kitu kikiwa sawa. Nina uzoefu wa Kilimo hiko kwa miaka 6 sasa.
Kwamba ngano ya tz hakitumiki tz au sijakuelewa?Kuna vitu vya bongo vimeshindwa kupenya kwenye soko
🔹 Ngwano tunayotumia inatoka urusi, Ukraine na brazili ukilima inakula kwako, je ya bongo Haina ubora viwandani?
🔹 Makaa ya mawe yanayotumika viwandani yanatoka south Africa,je ya kwetu hayana ubora?
🔹 Chumq kinachotumika viwandani kinamtoka nje. Je vyuma vyetu vya mchuchuma na liganga vina impurities na hivyo kukosa ubora?
Mkuu naona huu Uzi wengi hawachangii hebu naomba mawasiliano yako ili nipate details kamiliNi Kilimo rahisi kisicho na gharama sana. Kwa huku Makete na kule Kilolo ninapolima, roughly gharama zake ni kama ifuatavyo kwa Ekari 1:
1. Kukodi Shamba Tsh 50,000
2. Kulima Ekari 1 Tsh 70,000
3. Mbegu Kilo 50-75@2500
4. Kupanda Tsh 50,000
5. Mbolea Pandia 1bg Tsh 75,000
6. Kiuagugu(2,4-D) Tsh 24,000
7. Viuatilifu(Lumps) Tsh 50,000
8. Uvunaji Tsh 50,000
9. Kubeba/safirisha Tsh 50,000
10. Vifungashio 10-12@1000
Jumla kuu Tsh 550,000/=
Mavuno: 10-12 bgs@100Kg Tuchukue 10 tu sawa na Kilo 1000
Kilo 1 Sokoni inacheza 1500 hadi 2000. Tukichukua minimum 1500×1000=1,500,000/=
Faida= 1,500,000-550,000
Roughly 950,000 ndani ya miezi 3.
Hapo ni kila kitu kikiwa sawa. Nina uzoefu wa Kilimo hiko kwa miaka 6 sasa.
😂😂😂Dah ukisoma hivi utasema hapa ndio pakuweka Hela,ingia ulingoni Sasa🤔Ni Kilimo rahisi kisicho na gharama sana. Kwa huku Makete na kule Kilolo ninapolima, roughly gharama zake ni kama ifuatavyo kwa Ekari 1:
1. Kukodi Shamba Tsh 50,000
2. Kulima Ekari 1 Tsh 70,000
3. Mbegu Kilo 50-75@2500
4. Kupanda Tsh 50,000
5. Mbolea Pandia 1bg Tsh 75,000
6. Kiuagugu(2,4-D) Tsh 24,000
7. Viuatilifu(Lumps) Tsh 50,000
8. Uvunaji Tsh 50,000
9. Kubeba/safirisha Tsh 50,000
10. Vifungashio 10-12@1000
Jumla kuu Tsh 550,000/=
Mavuno: 10-12 bgs@100Kg Tuchukue 10 tu sawa na Kilo 1000
Kilo 1 Sokoni inacheza 1500 hadi 2000. Tukichukua minimum 1500×1000=1,500,000/=
Faida= 1,500,000-550,000
Roughly 950,000 ndani ya miezi 3.
Hapo ni kila kitu kikiwa sawa. Nina uzoefu wa Kilimo hiko kwa miaka 6 sasa.
Hakuna kitu chepesi katika hii Dunia, lazima uweke mipango ili kazi iwe bora lazima ujue risks na uweke strategies ya kukabiliana na mambo ili UPATE matokeo mazuri😂😂😂Dah ukisoma hivi utasema hapa ndio pakuweka Hela,ingia ulingoni Sasa🤔
Fuatilia wazalishaji wakubwa wa unga wa ngano , mo, Azania, na bakresa kama wanatumia ngano ya bongo. Bora ulime mpunga ni bidhaa inayouzika kwa Kila mtuKwamba ngano ya tz hakitumiki tz au sijakuelewa?
Acha kumtisha, wananunua ngano ya Bongo. Mbona mimi nawauzia mkuu? Changamoto iliyopo kwenye Ngano ni kiasi kidogo kinachozalishwa ndio maana sasa Bashe anapambana kuhakikisha tuna mbegu nyingi za Ngano ili wakulima wazalishe kwa wingi kutosheleza soko la ndani.Fuatilia wazalishaji wakubwa wa unga wa ngano , mo, Azania, na bakresa kama wanatumia ngano ya bongo. Bora ulime mpunga ni bidhaa inayouzika kwa Kila mtu
Asante sana mkuu Kwa maelezo haya maana hata Mimi nilikua najua hilihili kwamba uzalishaji wa Ngano kitaifa ni Kidogo.Acha kumtisha, wananunua ngano ya Bongo. Mbona mimi nawauzia mkuu? Changamoto iliyopo kwenye Ngano ni kiasi kidogo kinachozalishwa ndio maana sasa Bashe anapambana kuhakikisha tuna mbegu nyingi za Ngano ili wakulima wazalishe kwa wingi kutosheleza soko la ndani.
Binafsi namuuzia Bakhersa na hata mzee wangu alikuwa anamuuzia yeye. Acha kutisha wenzako.
Kiungopunda mkuu usisahau hili swaliAsante sana mkuu.
Je ni hatari /risk zipi hutokea katika kilimo hiki?