Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,144
- 16,489
Wa Mbumbumbu Scuhasibu wa wapi huo kaka?
Wa Mbumbumbu Scuhasibu wa wapi huo kaka?
Kukosea kwa comparison kati ya Kibu na Mayele haimaanishi ndo kakosea kusema kumsajili Aziz Ki kwa mihela mingi kuwa Uto wamepigwa.Umekuwa na kilanga cha kukurupuka kupost utumbo baadae unakuja kujificha kwa aibu, ulikuwa unamlinganisha kibu denis na mayele kuwa yanga wamepigwa na kibu ni zaidi ya mayele kilichofata uzi uliutelekeza saivi unauchungulia tu kama mtu aliyeshikwa ugoni, leo hii unarudia kile kile ulichomponda nacho mayele akiwa amecheza mechi 3 tu na akiwa mgeni wa ligi kuwa yanga imepigwa unakirudia kwa Aziz ki kuwa ni hasara, kwanza si mlikataa kuwa akusajiliwa kwa hizo pesa sasa inakuwaje leo unaandika mlichokikataa? Kwa kujua ya kuwa mashabiki wa makolo amko sawa vichwani na amjui chochote kuhusu mpira mnaanza kumhukumu mchezaji mpya kwenye ligi mpya na mazingira mapya tena akiwa amecheza mechi zisizopungua 4? Mashabiki wapuuzi kama nyie ndio wanaolifanya soka la Tanzania liendelee kudumaa kila siku maana limejaa watu wa ovyo ovyo wasiojitambua
Umeleeza vizuri japo ni kama umempigia mbuzi gitaaKukosea kwa comparison kati ya Kibu na Mayele haimaanishi ndo kakosea kusema kumsajili Aziz Ki kwa mihela mingi kuwa Uto wamepigwa.
Ki ni wa kawaida, anastruggle kuprove kuwa yupo vzr ila wapi.
Scout ya team zetu bado ipo poor sana. Mf hata Mnyama kuna wageni kadhaa nao wamezingua, naona hawana impact tarajali...
Anyway, usajili huwa ni kamali, kuna kupata na kukosa!
Let us enjoy football
Miezi 6 inaweza kutoa picha vizuri ya uwezo wake. Usiwe na haraka tv zipo tutamuonaUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka,kama ifuatavyo
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Nikiassume kuwa clubs huwa zinafanya mahesabu yao ya tathmini za usajili kwa mtindo huu, kama ulikuwa una nia ya kuifunga account ya kwanza ya Registration Fees wakati wa transaction ya pili, hiyo account ya pili Registration mbona ni tofauti na ya kwanza? Registration Fees ACC na Registration ACC ni account mbili tofauti. Kama ulikuwa unamaanisha ile account ya kwanza, ulitakiwa uicredit account siyo tena uidebit kwa mara ya pili.Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Kwa nini Simba ndio iwe reference ya ubora wa Aziz Ki?Uongozi na wachezaji wa Simba ndio wanajua miguu ya AZZ K inathamani gani wewe shabiki maandazi hujui lolote.
CEO wako akibahatika kusoma unachokiandika ata kuona waajabu sana.Ata kiungo wa Simba mwenye Spidi ya konokono ame mvulia kofia K AZZ.
Wakati mnamtuma CEO Wenu amfatilie na kumpigia cm mlikuwa mnamuona boraUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka,kama ifuatavyo
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Ila kuna watu mmesoma mpaka elimu inawaogopa.Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka,kama ifuatavyo
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Najua we na timu yako ndio mliojenga kile kibanda cha mlinzi cha 11M.Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka,kama ifuatavyo
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Lakini ni wewe ulikuwa unatusimulia mlivyopata kwa kumchukua na leo unamponda. Ndo maana huwa nakuambia huna akili wewe!!!!Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka,kama ifuatavyo
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Wewe ni mjinga sisi tupo pamoja na aziz kiUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka,kama ifuatavyo
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Ila ukweli utabaki palepale sio mchezaji wa 400mWewe ni mjinga sisi tupo pamoja na aziz ki
Alipomfuatilia akaona wa kawaida kinyume na dau. AkageuzaWakati mnamtuma CEO Wenu amfatilie na kumpigia cm mlikuwa mnamuona bora
Mzungu mlimuhukumu kwa mechi ngapi? Sio moja tu ya Ngao ya Jamii?Umekuwa na kilanga cha kukurupuka kupost utumbo baadae unakuja kujificha kwa aibu, ulikuwa unamlinganisha kibu denis na mayele kuwa yanga wamepigwa na kibu ni zaidi ya mayele kilichofata uzi uliutelekeza saivi unauchungulia tu kama mtu aliyeshikwa ugoni, leo hii unarudia kile kile ulichomponda nacho mayele akiwa amecheza mechi 3 tu na akiwa mgeni wa ligi kuwa yanga imepigwa unakirudia kwa Aziz ki kuwa ni hasara, kwanza si mlikataa kuwa akusajiliwa kwa hizo pesa sasa inakuwaje leo unaandika mlichokikataa? Kwa kujua ya kuwa mashabiki wa makolo amko sawa vichwani na amjui chochote kuhusu mpira mnaanza kumhukumu mchezaji mpya kwenye ligi mpya na mazingira mapya tena akiwa amecheza mechi zisizopungua 4? Mashabiki wapuuzi kama nyie ndio wanaolifanya soka la Tanzania liendelee kudumaa kila siku maana limejaa watu wa ovyo ovyo wasiojitambua