feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,593
- 4,170
Kweli watu tunatofautiana.mimi huwa namkakati wangu nikiamua kupanda usafiri wa umma huwa napambana nikae siti ya mbele opposite na driver. Kisha nafungua apps zangu naanza kusoma.
Yanayoendelea huko nyuma sijali.
Mimi kukaa mbele siwezi kabisa sipendi na pia hua naogopa naona kama kifo hiki hapa. Hapo sijui huko mbeleni nikibarikiwa usafiri binafsi itakuwaje.
Hata nikute mbele kwa dereva hakuna mtu sikai hata konda anifungulie huwa sikai.