bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,262
- 20,219
Ifike muda tuache kusifia maujinga unawezaje kuongea kauli kama hio juu ya mke wa mtu tena mwenye heshima ya first lady?Ingekuwa bongo useme hivyo kwa mama salma ungekuwa saivi unachezea rungu kwenye chumba cha giza totoro...