Rapa Kanye West Kushitakiwa kwa Unyanyasaji na Mfanyakazi wake wa zamani

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
87
103
'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji.

Mfanyakazi huyo aliyetambulika kwa jina la Trevor Philips amedai kuwa Kanye alikuwa akiwabagua wafanyakazi wenye ngozi nyeusi. Phillips anadai Kanye aliwaamuru wanafunzi hao kunyoa upara na kutaka kujenga vyumba vya chuo hicho kama jela.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2022 Kanye alishitakiwa na mazingira mabovu ya chuo hiko ikiwa ni pamoja na kukosekana na madirisha ya vioo, wanafunzi kula mlo mmoja kwa siku, kulazimishwa kuvaa mavazi meusi tu.
=======================​

Kanye West
is facing another lawsuit filed by a former employee at his Donda Academy, this time accusing him of discriminating against Black staffers and seeking to lock students in cages.

In a lawsuit filed Tuesday (April 2) in Los Angeles court, Trevor Phillips says the embattled rapper (who now goes by Ye) treated the Black staff at the school “considerably worse than white employees” — and then subjected him to “incessant harassment” and “humiliation” when he spoke up about it.

Like the several other lawsuits filed by former Donda Academy employees, the new complaint includes a number of bizarre allegations about West and his conduct at the school. It claims he told students to “shave their heads” and that he “intended to put a jail at the school” where students could be “locked in cages.”

In another odd alleged episode, Phillips claims West summoned him to a room at the Nobu Hotel, where the rapper put on The Batman and watched it in silence.

“After a long and awkward silence, Kanye finally spoke again,” Phillips claims in the suit. “Turning his attention back to Phillips, he began an unprovoked and bigoted rant attacking Jewish people.” Later that same evening, Phillips claims West lay on the bed and simulated masturbating while talking about having orgies.

Phillips claims he was finally fired last year.

The case is the latest lawsuit filed by former staffers of Donda Academy and the Yeezy Christian Academy that preceded it. One of them, filed in July, claimed that the school lacked windows because the embattled rapper “did not like glass” and that students were not allowed on the second floor because West was “reportedly afraid of stairs.” Another case, filed in April 2023, alleged that the only food available to students was sushi.

As with those earlier cases, the strange allegations contained in Tuesday’s lawsuit supported more straightforward legal claims, including discrimination, harassment, retaliation and wrongful termination.

A spokesperson for West did not immediately return a request for comment on Tuesday.

SOURCE: BILLBOARD

Ila hawa ma star weusi. Nikikumbuka Diddy yani kamfumua Babutake, Diamond na bodyguard wake Onesmus.

Diddy kawavua ubingwa hivi hivi.
Mkaldayo mbona unatuingiza cha kike? Babutale alibiduliwa? Haya maskhara sasa
 
Ila hawa ma star weusi. Nikikumbuka Diddy yani kamfumua Babutale, Diamond na bodyguard wake Onesmus.

Diddy kawavua ubingwa

Ila hawa ma star weusi. Nikikumbuka Diddy yani kamfumua Babutale, Diamond na bodyguard wake Onesmus.

Diddy kawavua ubingwa hivi hivi.
Shida mtu akiwa mkweli faster kwenye jambo ndivyo mtu mjinga huwa huwa faster pia kuhisi ujinga" mfano: mkeo akiwa faster kukwambia fulani kanitongoza mjinga ndivyo utawahi kusema kagongwa ndio maana huwa hawasemi wanasema kwa mwenye akili na sio kwa wajinga. Fuatilia vizuri hyo exclusive kuna maneno tale angeyaficha kama kungekuwa na ukweli hapo.
 
'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji.

Mfanyakazi huyo aliyetambulika kwa jina la Trevor Philips amedai kuwa Kanye alikuwa akiwabagua wafanyakazi wenye ngozi nyeusi. Phillips anadai Kanye aliwaamuru wanafunzi hao kunyoa upara na kutaka kujenga vyumba vya chuo hicho kama jela.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2022 Kanye alishitakiwa na mazingira mabovu ya chuo hiko ikiwa ni pamoja na kukosekana na madirisha ya vioo, wanafunzi kula mlo mmoja kwa siku, kulazimishwa kuvaa mavazi meusi tu.
=======================​
Kanye West is facing another lawsuit filed by a former employee at his Donda Academy, this time accusing him of discriminating against Black staffers and seeking to lock students in cages.

In a lawsuit filed Tuesday (April 2) in Los Angeles court, Trevor Phillips says the embattled rapper (who now goes by Ye) treated the Black staff at the school “considerably worse than white employees” — and then subjected him to “incessant harassment” and “humiliation” when he spoke up about it.

Like the several other lawsuits filed by former Donda Academy employees, the new complaint includes a number of bizarre allegations about West and his conduct at the school. It claims he told students to “shave their heads” and that he “intended to put a jail at the school” where students could be “locked in cages.”

In another odd alleged episode, Phillips claims West summoned him to a room at the Nobu Hotel, where the rapper put on The Batman and watched it in silence.

“After a long and awkward silence, Kanye finally spoke again,” Phillips claims in the suit. “Turning his attention back to Phillips, he began an unprovoked and bigoted rant attacking Jewish people.” Later that same evening, Phillips claims West lay on the bed and simulated masturbating while talking about having orgies.

Phillips claims he was finally fired last year.

The case is the latest lawsuit filed by former staffers of Donda Academy and the Yeezy Christian Academy that preceded it. One of them, filed in July, claimed that the school lacked windows because the embattled rapper “did not like glass” and that students were not allowed on the second floor because West was “reportedly afraid of stairs.” Another case, filed in April 2023, alleged that the only food available to students was sushi.

As with those earlier cases, the strange allegations contained in Tuesday’s lawsuit supported more straightforward legal claims, including discrimination, harassment, retaliation and wrongful termination.

A spokesperson for West did not immediately return a request for comment on Tuesday.

SOURCE: BILLBOARD

Hii ni vita ya mastar weusi imeibuka tena wale wakongwe waliotengeneza pesa nyingi miaka ya zamani na ndio wanatizamiwa kuishi maisha mazuri kuliko wasanii wa sasa na ikumbukwe marekani haijawahi kumthamini star mweusi toka enzi za kina 2pac huwa inawatumia tu kiburudani ukiangalia R Kelly alikuwa na muda mrefu hatoi burudani, puff daddy muda sana hatoi kazi anatumia tu, kanye west ndio anakazi kuzurula zurula tu na kumdhalilisha tu mwanamke wake mtandaoni akiwa uchi so hawana faida kwa sasa.
 
Hawa wamarekani weusi wanatabia za kimombasa Mombasa na kisomali 😁😂😂😁
Yani Diddy kazidi wanadai yuko kwenye lichama flani hivi kama illuminati licha ya kutoa kafara utatuaji marinda ni ibada.

Inaweza kuwa kweli kwasababu jamaa wanadai hadi TD Jake, Reverend al Sharpton na Trump nao kawafumua.
diddy-trump.jpg

Mr Q
 
'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji.

Mfanyakazi huyo aliyetambulika kwa jina la Trevor Philips amedai kuwa Kanye alikuwa akiwabagua wafanyakazi wenye ngozi nyeusi. Phillips anadai Kanye aliwaamuru wanafunzi hao kunyoa upara na kutaka kujenga vyumba vya chuo hicho kama jela.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2022 Kanye alishitakiwa na mazingira mabovu ya chuo hiko ikiwa ni pamoja na kukosekana na madirisha ya vioo, wanafunzi kula mlo mmoja kwa siku, kulazimishwa kuvaa mavazi meusi tu.
=======================​
Kanye West is facing another lawsuit filed by a former employee at his Donda Academy, this time accusing him of discriminating against Black staffers and seeking to lock students in cages.

In a lawsuit filed Tuesday (April 2) in Los Angeles court, Trevor Phillips says the embattled rapper (who now goes by Ye) treated the Black staff at the school “considerably worse than white employees” — and then subjected him to “incessant harassment” and “humiliation” when he spoke up about it.

Like the several other lawsuits filed by former Donda Academy employees, the new complaint includes a number of bizarre allegations about West and his conduct at the school. It claims he told students to “shave their heads” and that he “intended to put a jail at the school” where students could be “locked in cages.”

In another odd alleged episode, Phillips claims West summoned him to a room at the Nobu Hotel, where the rapper put on The Batman and watched it in silence.

“After a long and awkward silence, Kanye finally spoke again,” Phillips claims in the suit. “Turning his attention back to Phillips, he began an unprovoked and bigoted rant attacking Jewish people.” Later that same evening, Phillips claims West lay on the bed and simulated masturbating while talking about having orgies.

Phillips claims he was finally fired last year.

The case is the latest lawsuit filed by former staffers of Donda Academy and the Yeezy Christian Academy that preceded it. One of them, filed in July, claimed that the school lacked windows because the embattled rapper “did not like glass” and that students were not allowed on the second floor because West was “reportedly afraid of stairs.” Another case, filed in April 2023, alleged that the only food available to students was sushi.

As with those earlier cases, the strange allegations contained in Tuesday’s lawsuit supported more straightforward legal claims, including discrimination, harassment, retaliation and wrongful termination.

A spokesperson for West did not immediately return a request for comment on Tuesday.

SOURCE: BILLBOARD

Kitu kingine hawa mastar weusi wanaokabiliwa na hizi kesi wengi wanapesa nyingi ila wanaishi maisha ya kihuni yani hawana ndoa hata heshima zao ndogo likija swala la kesi kama hizi R Kelly hana mke, Puff Daddy hana mke, Kanye west hana mke, so wanaonekana wazi wanatumia pesa vibaya tofaouti na walio kwenye ndoa kama Jay z fuatilia zaidi utaelewa.
 
Back
Top Bottom