JF Hustlers pita hapa kabla ya kuanza mishemishe za siku na baada ya kumaliza..

Kumekucha Mahustlers,, Ni wiki nyingine tena tumeingia mapambano inabdi yaendelee tena Jah akabless mishemishe zetu zote za siku ya Leo na wiki nzma..
 
Kila la kheri wapambanaji wa JF kwny siku ya kwanza ya utafutaji ndani ya 2024,, Mwaka ukawe wa kheri huu kwetu
 
Habari za Asubuhi wanaJF huu ni uzi wetu maalumu kwa wale hustlers ambao tunaingia kwnye mishemishe asubuhi na mapema(kuanzia saa 12- 3 asubuhi).

Hapa tutakua tunatakiana kila la kheri na kuomba baraka za Mwenyezi Mungu kbla ya kuanza mishemishe zetu unaruhusiwa kucomment neno lolote la kupeana moyo na kutiana nguvu.

Hapa itapendeza kila siku asubuhi kbla ya kupita kwny uzi wwte wa JF ukapitia hapa kuandika chochote cha kutiana hamasa.

Lakini pia baada ya kazi ya siku husika unaeza ukapita hapa kutoa mrejesho na changamoto mbalimbali ulizokumbana nazo kwny siku husika kwny mishe zako lakini pia hata mazuri uliyokutana nayo..

Karibuni Sanaa Hustlers..
c2028ba6f8cd6197b57cafe251611f1c.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia zaidi ya 85 humu ni Hustlers lakini hawataki kuja kuchangia huu uzi. Wapo kwenye Kula Kimasihara tu.
All Hustlers, tupambane sana bila kuchoka
 
Back
Top Bottom