Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

F35-Bomber

JF-Expert Member
Mar 18, 2017
1,259
992
Habari zenu wakuu wa jamvi naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa wa tofauti kati ya silaha hizi SMG na ILE inayoitwa AK-47 nimekuwa mfatiliajia sana wa habari hapa nchi utasikia majambazi yamekamatwa na SMG siku nyingine utasikia majambazi yamekamatwa na AK-47 Je ni nini hasa tofauti kati ya vyombo vihi viwili au ni kitu kimoja ila majina tofauti na je kwanini nchi kama kenya hizi mashine hazitumiki sana tofauti na nchi kama Tanzania kila sehehu unakuta zipo despalayed.
 
Attachments

  • AK.docx
    27.1 KB · Views: 227

SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.

AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(mtengenezaji /mgunduzi ni Mikhail Kalashnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
 
SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.

AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
sasa ipi ni hatari zaidi kati ya hizi mbili na je utawezaje kizitofautisha kwa macho? kwa sababu nikiangaliaga zikioneshwa kwenye tvs mm naona kama ni kitu kle kile ebu nitoe tongo tongo mkuu
 
Back
Top Bottom